Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mambo ya hovyo mno...Imagine siku mbili tu, yaani mbili tu zimezidishwa. Wakuu, pamoja na kuajiriwa serikalini, tafuteni namna ya kuongeza kipato.
Au lawama ni kwa ajili ya kudai chenu? Haki yenu naamini haiwezi potea, mama ni msikivu na mwenye huruma sana.
Na 2025 kura mtatupa!!!Mshahara mwezi huu hakuna na la kutufanya hamna
Akianzisha mada kijana msomi aliye mtaani leo kuhusu afanye nini siku zisogee unakuta hawa hawa wanajazana kumshauri ajiajiri wakati chanzo hana.Imagine siku mbili tu, yaani mbili tu zimezidishwa. Wakuu, pamoja na kuajiriwa serikalini, tafuteni namna ya kuongeza kipato.
Au lawama ni kwa ajili ya kudai chenu? Haki yenu naamini haiwezi potea, mama ni msikivu na mwenye huruma sana.
Mkuki kwa nguruwe...Akianzisha mada kijana msomi aliye mtaani leo kuhusu afanye nini siku zisogee unakuta hawa hawa wanajazana kumshauri ajiajiri wakati chanzo hana.
Lakini wao wameshindwa kujiajiri pamoja na kuwa wana chanzo cha mitaji (mshahara)
SalaryHivi hampatagi sms au? Kama sms hamna manake si 0-0?
Mpaka kila mwezi lazima atokee wa kuuliza uliza??
Acheni kelele
Pale simbanking app kuna ka batani ka salaly adv..