92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Kuna taasisi moja ni wateja wangu siku moja napeleka bidhaa kwao nikakuta wana kikao na mimi wakasema nikae kwakua tunafanya biashara nieleze changamoto ninazopata na mwenye taasisi yake alikuwepo basi wakajieleza sana ila kuna waajiriwa wawili walikua hawapati malipo yao kwa wakati wakawa wanajishauri kuongea kiongozi wao anawaambia "kuweni na adabu mtaongeaje jambo kama hilo mbele ya mmiliki nikisikitika sana nikashindwa kuvumilia nikachangia na nikawanyanyua watumishi wale waeleze nini wanapitia cha ajabu kumbe sio mshahara wa mwezi mmoja ni miezi 6 loh mm mwenyewe nilichoka na mmiliki ndio alidata kabisa akijua hakuna asiekosa chake kumbe zinapigwa na anaewakataza wasiseme ndio oganaiza wa mambo yote niliporud mtaani kwangu nikakaa nikafikiri nikaona kuajiriwa ni laana fulani huwezi kosa chako miezi 6 na bado anatokea mtu anakuambia usiseme sio heshima inamaana wao wakifa njaa ni heshima. Ni ufakeni sana