Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Huyu mzee si akalime Kama zamani?

Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake.

Huyu mzee😀😀

c383c841b8da923c49e84a4403b2da63.jpg
c383c841b8da923c49e84a4403b2da63.jpg
1505d4e8decc6795f572c355f4f8dc0c.jpg
c317aeda0cce416cde461ab9285d5b0f.jpg
 
baada ya mambo kukamilika akarudi ikulu.

Mambo ilikua ni kurudisha genge lake kwenye system, Old boss in Town.
 
Kama kikwete kakosea kama binadamu wa kawaida tunavyokosea hakuna haja ya kumsonga na maneno meengi hivi coz haitisaidii kama taifa!!

Tupambane tutengeneze mifumo imara ambayo itajitangaza bila kudogoshwa na personality za watu!!

Kule USA Donald Trump Hana jina kubwa kuliko taifa la marekani!!

Na huku kwetu ilipaswa kuwa hivyo hivyo!

Kama jamhuri ilikuwepo kabla ya CCM kuwepo na kikwete kushika madaraka kwanini jamuhuri isingejipambanua kama Taifa imara!!?

Hebu Wana idara warudi mezani watutengenezee taifa imara ambalo haliwezi hujumiwa na watu kupitia influence yao kwenye jamii!!

Kikwete katumia fursa ya ubovu wa kimfumo ambavyo hasta wengi wangefanya hivyo hivyo!!

Turudi kwenye misingi!!

KAZI na utu,tunasonga mbele!
 
Back
Top Bottom