Eh,,,,,,,,,,,,, nyie watu yaani mwataka mie kila siku niwe kauka nkuvae??................ hamnitendei haki bwana Kanyagioa. Kweli tena please.
babu usiondoke pasipo kunitetea ............ pleeease.Duh!...........Ngoja nikanywe bia!
Mchungaji haunywi Valuu nina katoni moja hapa haina kaziKwa usumbufu ulomsababishia Mchungaji tafadhali naomba kasichana kale kakonyagi kadogo nililiwaze na kujipoza!
Hawajui.......babu usiondoke pasipo kunitetea ............ pleeease.
hawa wanataka mie kila siku nivae kaniki jamani?? nioneeni huruma
Kanyagio: Avatar ile niliivaa kipingi cha machungu ya maisha....na sasa nimeikubali hali na nimeamua kumove on na maisha yangu sidhani kama bado ninahitaji kumbukumbu ya machungu!! nimeamua kusamehe na kusahau please help me on this please. Najitahidi nifungue moyo mwenzenu (Tpic ya Mbu inahusika hapa) Please nipe nafasi na umisaidie.........
Niondoke niende wapi?babu usiondoke pasipo kunitetea ............ pleeease.
hawa wanataka mie kila siku nivae kaniki jamani?? nioneeni huruma
Kanyagio: Avatar ile niliivaa kipingi cha machungu ya maisha....na sasa nimeikubali hali na nimeamua kumove on na maisha yangu sidhani kama bado ninahitaji kumbukumbu ya machungu!! nimeamua kusamehe na kusahau please help me in this.
Mchungaji haunywi Valuu nina katoni moja hapa haina kazi
Unashtakiwa kwa kutaja mvinyo hadharani Ijumaa kuu.Kwa usumbufu ulomsababishia Mchungaji tafadhali naomba kasichana kale kakonyagi kadogo nililiwaze na kujipoza!
Mheshimiwa Babu yangu............sema neno moja tu nami Mjukuu Mtiifu nitatii..........nitumie DHL au??Kwa usumbufu ulomsababishia Mchungaji tafadhali naomba kasichana kale kakonyagi kadogo nililiwaze na kujipoza!
Valuu inapunguza zile nguvu za nani hii!
Unashtakiwa kwa kutaja mvinyo hadharani Ijumaa kuu.
Dah!!! Nimeumia tayari Mchungaji hebu piga maombi nirudi katika hali yanguValuu inapunguza zile nguvu za nani hii!
mchungaji kwani we unahistaji nguvu nyingi?? ......hata zikipungua hazina madhara kwani haziishi kabisa
kusema ukweli jina linaendana na AVATAR, hebu take a note uone mchungaji Masa aachane na ile avatar yake ya kibabubabu itakuwaje au babu Aspirin aachane na avatar ya katoto kalikoinamisha kichwa!!!
ila hongera kwa kuwa msichana zaidi (katika avatar).. pia hongera kwa kukubali kuacha kumbukumbu ya machungu!!!
Teh teh!!
Kupungua ni dalili za kuisha!
Mheshimiwa Babu yangu............sema neno moja tu nami Mjukuu Mtiifu nitatii..........nitumie DHL au??
Ahaaa ahaaa ngoja nimuulize Mchungaji kama hauzi madawa na yeyeMchungaji umefunikwa na uweza na damu.......yeye aliye yote anajua kipimo kikutoshacho. Hii ni kwa faida yako usije ukaingia majaribuni.