Kulikoni MWANAJAMIIONE kubadilisha AVATAR

Kulikoni MWANAJAMIIONE kubadilisha AVATAR

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
mwanajamii One hebu tujuze nini kimetokea ukabadilisha AVATAR,,.. sisi tumekuzoea kwa avatar ile original. au umebadiljka kitabia? weekend njema
wHUiD8w4VB4rgAAAABJRU5ErkJggg==

https://www.jamiiforums.com/members/mwanajamiione.html
https://www.jamiiforums.com/customavatars/avatar11417_22.gif

hebu tujuze tafadhali
 
Eh,,,,,,,,,,,,, nyie watu yaani mwataka mie kila siku niwe kauka nkuvae??................ hamnitendei haki bwana Kanyagioa. Kweli tena please.
 
Duh!...........Ngoja nikanywe bia!
babu usiondoke pasipo kunitetea ............ pleeease.

hawa wanataka mie kila siku nivae kaniki jamani?? nioneeni huruma

Kanyagio: Avatar ile niliivaa kipingi cha machungu ya maisha....na sasa nimeikubali hali na nimeamua kumove on na maisha yangu sidhani kama bado ninahitaji kumbukumbu ya machungu!! nimeamua kusamehe na kusahau please help me on this please. Najitahidi nifungue moyo mwenzenu (Tpic ya Mbu inahusika hapa) Please nipe nafasi na umisaidie.........
 
kusema ukweli jina linaendana na AVATAR, hebu take a note uone mchungaji Masa aachane na ile avatar yake ya kibabubabu itakuwaje au babu Aspirin aachane na avatar ya katoto kalikoinamisha kichwa!!!
ila hongera kwa kuwa msichana zaidi (katika avatar).. pia hongera kwa kukubali kuacha kumbukumbu ya machungu!!!
Teh teh!!
 
Hawajui.......

.............Ya kale yamepita; tazama yamekuwa mapya........................
Mjukuu Mtiifu; 2011
 
babu usiondoke pasipo kunitetea ............ pleeease.

hawa wanataka mie kila siku nivae kaniki jamani?? nioneeni huruma

Kanyagio: Avatar ile niliivaa kipingi cha machungu ya maisha....na sasa nimeikubali hali na nimeamua kumove on na maisha yangu sidhani kama bado ninahitaji kumbukumbu ya machungu!! nimeamua kusamehe na kusahau please help me in this.
Niondoke niende wapi?

Mpaka huyu Kanyagio (damn sijui la ng'ombe?) anieleze, hivi viwalo nlivokununulia Pakistan hataki uvitinge? Na hayo mapozi bibi alokufunda ili uwe Miss KingStaa hataki yaonyeshe na mikogo yake?

Uniambie kanijibuje, afu niandalie na ile bakora yangui
 
kusema ukweli jina linaendana na AVATAR, hebu take a note uone mchungaji Masa aachane na ile avatar yake ya kibabubabu itakuwaje au babu Aspirin aachane na avatar ya katoto kalikoinamisha kichwa!!!
ila hongera kwa kuwa msichana zaidi (katika avatar).. pia hongera kwa kukubali kuacha kumbukumbu ya machungu!!!
Teh teh!!

kanyagio my signature says it all.......but kama unataka ya kale niyarudishe na kuyakumbatia.....mimi ni Mjukuu Mtiifu nitafanya hivyo Babu yangu.

Baraka za Babu ni bora kuliko mwanasesere.
 
Mheshimiwa Babu yangu............sema neno moja tu nami Mjukuu Mtiifu nitatii..........nitumie DHL au??

Khaaaaaaaaa! Mjukuu mtiifu utatii atakachokwambia? Afu huo mpango wa kutumia DHL ndo uchunaji ushaanza au? Ntakusemea kwa bibi akucharaze kama kipindi kile wakati unakojoa kitandani.

Babu anawatakieni Wikiendi njema....Kuna watu wananisubiri JJ pa ukeee pale!

Kwaherini watoto na wajukuu wote!
 
Back
Top Bottom