Kulikoni Precisionair?

Kulikoni Precisionair?

Kama serikali yetu iko makini haitaruhusu jambo hili litokee. Inashangaza kwanini ujio wa fly 540 unakuwa wakati mmoja na hili? Hapa ndipo usalama wa Taifa wanatakiwa kuwa makini kwa maslahi ya Taifa. Kama PW itakufa basi tuelewe tu kuwa nchi imezingirwa vibaya. Maadui wa Taifa wanashinda. Zifanyike kila jitihada kuepusha hilo lisitokee. Mungu ibariki Tanzania.

usalama wa taifa hawana time na ishu za uchumi wa nchi, kazi yao ni kuhakikiisha ccm inatawala milele
 
Hawa jamaa wanatakiwa kuwa na pesa, kwanza bei zao au nauli zao ni kubwa mno. Hivi Unajua nauli ya ndege kutoka Dar kwenda Bukoba ni kubwa kuliko kutoka London kwenda New York!!!!! wakati mafuta London hiko juu kuliko Dar es Salaam

Acha uongo wewe!!!!
 
Back
Top Bottom