carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
Kama serikali yetu iko makini haitaruhusu jambo hili litokee. Inashangaza kwanini ujio wa fly 540 unakuwa wakati mmoja na hili? Hapa ndipo usalama wa Taifa wanatakiwa kuwa makini kwa maslahi ya Taifa. Kama PW itakufa basi tuelewe tu kuwa nchi imezingirwa vibaya. Maadui wa Taifa wanashinda. Zifanyike kila jitihada kuepusha hilo lisitokee. Mungu ibariki Tanzania.
usalama wa taifa hawana time na ishu za uchumi wa nchi, kazi yao ni kuhakikiisha ccm inatawala milele