Kulikoni Precisionair?

Kulikoni Precisionair?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Precision Air sued for failure to settle over 300m/-
By DAILYNEWS Reporter, 3rd February 2011 @ 14:00, Total Comments: 0, Hits: 253

A LOCAL company, Inter premier Holdings, has petitioned before the High Court's Commercial Division, seeking winding up of Precision Air, one of the few local airlines, for failure to pay a debt of 230,000 US dollars (about 342.7m/-).

The suit has been assigned to Lady Justice Bukuku and is due to be heard on February 11, 2011. Flair Aviation GMBH, a German based air charter and leasing company, assigned such debt to Interpremier Holdings, which in turn filed the proceedings before the court in Dar es Salaam.

In an advert published this week, the petitioner, through FB Attorneys, has asked any company which intends to support or reject the suit and wishes to appear at the hearing
to give notice of such intention within seven days prior to the hearing date.

One of the biggest creditors to Precision Air is Citibank, which has funded millions of dollars to the airline for purchase of new ATR planes from France. The suit comes at a time when Precision Air is about to finalise its initial public offering (IPO) documents.

According to sources within the Tanzania Civil Aviation Authority, the Capital Markets and Securities Authority (CMSA) is monitoring the situation and will not allow shares of a company involved in winding up proceedings to be sold to the public.

Despite several attempts, Advocates Fayaz Bhojani and Gaudiosus Ishengoma of FB Attorneys who are acting for the petitioner declined to comment on the matter.

"The matter is in court and we are not authorized to speak to you. And even if we were, we would not disclose the matter to you on the phone. You can peruse the court file and get all details from there," said Mr Ishengoma when contacted.
Daily News | Precision Air sued for failure to settle over 300m/-

MY TAKE
Hii ina-raise my eyebrows maana wengine tulishaanza kuchanga vijisenti kununua shares hapo IPO itakapokuwa official launched
 
Maskini ni bahati mbaya sijui watalipaje deni hili kubwa kwani ujio wa Fly 540 unaongeza chumvi kwenye jeraha. Nasikia hata nauli ya Dar-Mwz-Dar imebidi washushe kutoka 410,000 hadi 149,000 return. Wataalam wa uchumi na fedha wasaidieni mawazo kunusuru kampuni hii.
 
duuhhhh
haina neno hawa ni watu wa business
wanajua watakalo fanya..
 
Precision Air sued for failure to settle over 300m/-
By DAILYNEWS Reporter, 3rd February 2011 @ 14:00, Total Comments: 0, Hits: 253

A LOCAL company, Inter premier Holdings, has petitioned before the High Court's Commercial Division, seeking winding up of Precision Air, one of the few local airlines, for failure to pay a debt of 230,000 US dollars (about 342.7m/-)
.

Kwa kampuni kubwa kama PW, kwanini washindwe kulipa US$ 230,000/=?, wakati hiyo ni bei ya spea ya kawaida tu kwny ndege kama retractable gear?
Mi nadhani shida siyo kulipa kiasi hicho cha fedha, labda wana madeni mengineyo sehemu zingine kadhaa yanayowayumbisha!
Nimedokezwa na mtu kuwa kwa sasa pale JNIA fedha za tiketi zinapokelewa counters na wafanyakazi wa Citibank...sijui ukweli wa hili!

Lakini vinginevyo, for whatever worse that may happen to this aviation company, itakuwa ni aibu ya Watanzania wote, na shughuli nyingi za watu binafsi na za kiserikali zitaathirika!..binafsi siombei mabaya yatokee kwa kampuni hii!​
 
Those are problems associated with GOING BIG.
 
Duh! inakuwaje wakati juzi juzi tu walikuwa wanaomba wapewe Air Tanzania? Hawa jamaa wa Pw bashara zao ni nzuri tu na wabia wao KQ ni wazuri sana .... nini kimetokea au wamepata biashara nyingine mpya?
 
tatizo kuwa na kesi inaku-discredit ku-float shares at the DSE! sasa wata-raise vp hela za ku-finance hiyo expansion yao pia kulipa madeni?
 
Duh! inakuwaje wakati juzi juzi tu walikuwa wanaomba wapewe Air Tanzania? Hawa jamaa wa Pw bashara zao ni nzuri tu na wabia wao KQ ni wazuri sana .... nini kimetokea au wamepata biashara nyingine mpya?

hawa watu hawa eleweki mkuu
leo wamepanda kesho wana matatizo ambayo
usema ukweli haya make sense

kama PakaJimmy alivyosema
wameshindwaje kulipa $230,000 US???

hawa wanaelekea wanamatatizo yao mengine..
 
Hawa jamaa wanatakiwa kuwa na pesa, kwanza bei zao au nauli zao ni kubwa mno. Hivi Unajua nauli ya ndege kutoka Dar kwenda Bukoba ni kubwa kuliko kutoka London kwenda New York!!!!! wakati mafuta London hiko juu kuliko Dar es Salaam
 
verify
 
Kama serikali yetu iko makini haitaruhusu jambo hili litokee. Inashangaza kwanini ujio wa fly 540 unakuwa wakati mmoja na hili? Hapa ndipo usalama wa Taifa wanatakiwa kuwa makini kwa maslahi ya Taifa. Kama PW itakufa basi tuelewe tu kuwa nchi imezingirwa vibaya. Maadui wa Taifa wanashinda. Zifanyike kila jitihada kuepusha hilo lisitokee. Mungu ibariki Tanzania.
 
Juzi walitoa tangazo lao kwenye gazeti la the guardian kuelezea undani wa kesi yenyewe. Hata hivo mwishoni walimalizia kwa kuwatoa hofu wananchi ya kwamba hawawezi kushindwa kulipa deni kiduchu namna hiyo, walionesha thamani ya assets walizonazo ukilinganisha na deni wanalodaiwa.
 
Hawa jamaa wanatakiwa kuwa na pesa, kwanza bei zao au nauli zao ni kubwa mno. Hivi Unajua nauli ya ndege kutoka Dar kwenda Bukoba ni kubwa kuliko kutoka London kwenda New York!!!!! wakati mafuta London hiko juu kuliko Dar es Salaam

Ni kweli kabisa mkuu!

Inawezekana MAFISAADI wametoa pesa zao huko kama walivyofanya SCANDNAVIAN BUS SERVICE! iliporomoka inawezekana hata hawa PW wanaweza kushuka hivyo! Tusiombee yatokee kwani ni aibu kwa miradi ya Watanzania kuishia hapo!!
Lakini swali la kujiuliza kwanini AIR Tanzania imeshindwa!!? UFISADI wa kina Mataka + others
 
Maskini ni bahati mbaya sijui watalipaje deni hili kubwa kwani ujio wa Fly 540 unaongeza chumvi kwenye jeraha. Nasikia hata nauli ya Dar-Mwz-Dar imebidi washushe kutoka 410,000 hadi 149,000 return. Wataalam wa uchumi na fedha wasaidieni mawazo kunusuru kampuni hii.

Duh, wizi mtupu.
410,000 - 149,000 = 261,000.
Hii ni tofauti kubwa sana, PW wanakula cha juu kupita kiasi!
 
Ni kweli Precion wakishindwa kazi nchi yetu ndiyo itayoaibika maana ATCL imejifia zake sasa mwokozi katika hili alikuwa PA. Ok, nionavyo hawa jamaa wana madeni mengine ambayo yana pressure kubwa kuliuko hilo hivyo wameamua labda kulisubirisha ili angalau hao wanaowasumbua wamalizane nao kwanza.
Natumaini walipa kama walivyosema katika taarifa zao.
 
It will be so sad if airline was to go down. It is currently our national Carrier since what is left of Air Tanzania is the name. I'm sure they'll find a way to pay the debt.
 
Maskini ni bahati mbaya sijui watalipaje deni hili kubwa kwani ujio wa Fly 540 unaongeza chumvi kwenye jeraha. Nasikia hata nauli ya Dar-Mwz-Dar imebidi washushe kutoka 410,000 hadi 149,000 return. Wataalam wa uchumi na fedha wasaidieni mawazo kunusuru kampuni hii.
.

Hapo haimaniishi kuwa wana-undergo loss, bali in the past walikuwa wanapata huge profit margin. Fedha ya kulipa deni wanayo.
 
Precision Air is now the National flag carrier. So it will be a real misfortune if it follows ATCL into the foul water drain.
 
Precision Air is now the National flag carrier. So it will be a real misfortune if it follows ATCL into the foul water drain.

Hili ndilo nahofia, and probably it is time to have another comompany or invite one from our neighbors to ply local routes
 
Back
Top Bottom