James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Yaani inatakiwa basata wawe na kitengo kupitia mikataba ya hawa watu wanadhulumiwa sana na huko ndo kimbilio lao kwa upotofu wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita ya madawa ya kulevya ya makonda ilikuwa feki au ya kuamisha magoli tu au makonda kesha kuwa member wa biashara hiyo vipi sikuizi madawa yanapatikana kama njugu afanyi lolote yeye wala magu kimya wanatuletea kamata kamata za dustbin mitaani za kipuuzikuna siku ruby alikuja ofisini kwangu kwa mazungumzo ya kibiashara... the way nilivyomuona hakuwa sawa yule binti.
kwanza si msafi,yaani hana ule usafi wa kike, yupo rough hivi,ana kauwembamba kasiko ka kawaida,sauti yake akiongea inakwaruza sana.
mawili:anavuta sana bangi au teja. ni hayo tu.
Wanadhulumiwa na nani??Yaani inatakiwa basata wawe na kitengo kupitia mikataba ya hawa watu wanadhulumiwa sana na huko ndo kimbilio lao kwa upotofu wao.
ndgAcheni kudandia treni kwa mbele.
JF kila mtu anajifanya mshauri-rika wa tatizo ambalo hata hamlijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
hala hala tu rich mavoko na yeye asije akakimbilia kula ngada maana nasikia ana madai ya kudhulumiwa na wasafi.Yaani inatakiwa basata wawe na kitengo kupitia mikataba ya hawa watu wanadhulumiwa sana na huko ndo kimbilio lao kwa upotofu wao.
fact √•√√√√ mkuuMkuu fundi bishoo tatizo la taifa hili ndio hilo kaka, kitu kidogo tu siasa. Sasa wewe Radio inasikilizwa na watu wa rika zote na unamzungumzia msanii kwa nini usiweke wazi badala ya kupiga blah blah unaongea kwa mafumbo ili iweje? kama umeamua kuongea ukweli ongea tu ama laa basi nyamaza? Halafu wanakuja watu wanawapa rank hawa watangazaji uchwara.
Huyo mtangazaji wa ovyo kabisa. Hayo maneno alipaswa kwenda kumwambia binafsi au alipaswa kuja na taarifa nzima kuliko kuja na ushauri wa jambo ambali hatulijui(Halipo masikioni mwetu)Nimesikiliza East Africa Breakfast ya jumapili Leo, East Africa Radio mtangazaji anamwonya Ruby bado tunakupenda na tunakuhitaji, anamalizia kwa kusema chondechonde. Hakutaka kuweka mambo hadharani Redioni.
Je Ruby kakumbwa na nini jamani?
Yani sentensi moja tu iliyosikika redioni ndiyo mnakua biased kiasi hichi???ndg
usiwachukulie wanamziki wa bongofleva ni watu fulani wasiopaswa kujadiliwa, hawa ni wadogo zetu, kaka zetu, dada zetu. tunawajua vilivyo kuliko hata jamii inavyowajua.
tunapoona kuna changes zisizo za kawaida lazima tujiulize maswali kuna nini.
sawa meneja wa ruby tumekusikia, hatutarudia tena. [emoji23][emoji23][emoji23]Yani sentensi moja tu iliyosikika redioni ndiyo mnakua biased kiasi hichi???
Acheni ujuaji mtaumbuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee threesome , ndio maana vijana wa dar wanakufa kama kukuRuby kapozwa na stress, Nandy kampeleka putaaa.
Washkaji wakamwonjesha sukari, nae akalamba.
Akataka tena na tenaaa.
Sasa nasikia anapigwa mpk threesome
Tatizo vitangazaji vya stesheni nyingi vimekaa kimbea mbea sana, they can't take issues serious na kwa weledi.Mkuu fundi bishoo tatizo la taifa hili ndio hilo kaka, kitu kidogo tu siasa. Sasa wewe Radio inasikilizwa na watu wa rika zote na unamzungumzia msanii kwa nini usiweke wazi badala ya kupiga blah blah unaongea kwa mafumbo ili iweje? kama umeamua kuongea ukweli ongea tu ama laa basi nyamaza? Halafu wanakuja watu wanawapa rank hawa watangazaji uchwara.
duuuuuhh" umaarufu harufu " aiseeeRuby kapozwa na stress, Nandy kampeleka putaaa.
Washkaji wakamwonjesha sukari, nae akalamba.
Akataka tena na tenaaa.
Sasa nasikia anapigwa mpk threesome