Kulikoni Ruby kakumbwa na nini?

Kulikoni Ruby kakumbwa na nini?

kuna siku ruby alikuja ofisini kwangu kwa mazungumzo ya kibiashara... the way nilivyomuona hakuwa sawa yule binti.

kwanza si msafi,yaani hana ule usafi wa kike, yupo rough hivi,ana kauwembamba kasiko ka kawaida,sauti yake akiongea inakwaruza sana.

mawili:anavuta sana bangi au teja. ni hayo tu.
Vita ya madawa ya kulevya ya makonda ilikuwa feki au ya kuamisha magoli tu au makonda kesha kuwa member wa biashara hiyo vipi sikuizi madawa yanapatikana kama njugu afanyi lolote yeye wala magu kimya wanatuletea kamata kamata za dustbin mitaani za kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani inatakiwa basata wawe na kitengo kupitia mikataba ya hawa watu wanadhulumiwa sana na huko ndo kimbilio lao kwa upotofu wao.
Wanadhulumiwa na nani??

Wasanii wa bongo wengi wako brainwashed kuwa ukiwa maarufu basi pesa zinaflow tu kama zote hivi..kumbe ni tofauti,wanaishia kuishi maisha ya kuigiza,wanazidiwa hata na watu wenye profession za kawaida tu ambao wanaishi kwa amani..

Msanii kama nikki wa pili aliombwa msaada wa laki mbili kwa ajili ya kumnunulia wheel chair kilema na yeye pia akaomba msaada!!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kudandia treni kwa mbele.

JF kila mtu anajifanya mshauri-rika wa tatizo ambalo hata hamlijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndg
usiwachukulie wanamziki wa bongofleva ni watu fulani wasiopaswa kujadiliwa, hawa ni wadogo zetu, kaka zetu, dada zetu. tunawajua vilivyo kuliko hata jamii inavyowajua.

tunapoona kuna changes zisizo za kawaida lazima tujiulize maswali kuna nini.
 
Mkuu fundi bishoo tatizo la taifa hili ndio hilo kaka, kitu kidogo tu siasa. Sasa wewe Radio inasikilizwa na watu wa rika zote na unamzungumzia msanii kwa nini usiweke wazi badala ya kupiga blah blah unaongea kwa mafumbo ili iweje? kama umeamua kuongea ukweli ongea tu ama laa basi nyamaza? Halafu wanakuja watu wanawapa rank hawa watangazaji uchwara.
 
fact √•√√√√ mkuu
 
Nimesikiliza East Africa Breakfast ya jumapili Leo, East Africa Radio mtangazaji anamwonya Ruby bado tunakupenda na tunakuhitaji, anamalizia kwa kusema chondechonde. Hakutaka kuweka mambo hadharani Redioni.

Je Ruby kakumbwa na nini jamani?
Huyo mtangazaji wa ovyo kabisa. Hayo maneno alipaswa kwenda kumwambia binafsi au alipaswa kuja na taarifa nzima kuliko kuja na ushauri wa jambo ambali hatulijui(Halipo masikioni mwetu)
 
ndg
usiwachukulie wanamziki wa bongofleva ni watu fulani wasiopaswa kujadiliwa, hawa ni wadogo zetu, kaka zetu, dada zetu. tunawajua vilivyo kuliko hata jamii inavyowajua.

tunapoona kuna changes zisizo za kawaida lazima tujiulize maswali kuna nini.
Yani sentensi moja tu iliyosikika redioni ndiyo mnakua biased kiasi hichi???

Acheni ujuaji mtaumbuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu fundi bishoo tatizo la taifa hili ndio hilo kaka, kitu kidogo tu siasa. Sasa wewe Radio inasikilizwa na watu wa rika zote na unamzungumzia msanii kwa nini usiweke wazi badala ya kupiga blah blah unaongea kwa mafumbo ili iweje? kama umeamua kuongea ukweli ongea tu ama laa basi nyamaza? Halafu wanakuja watu wanawapa rank hawa watangazaji uchwara.
Tatizo vitangazaji vya stesheni nyingi vimekaa kimbea mbea sana, they can't take issues serious na kwa weledi.
 
Back
Top Bottom