Kulikoni self microfinance fund, mbona hawaitwi kazini

Kulikoni self microfinance fund, mbona hawaitwi kazini

JGGM

Member
Joined
Sep 26, 2021
Posts
32
Reaction score
72
Naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu kada za self microfinance fund mbona hawaitwi kazini kwa waliofanikiwa interview. Maana zilifanyika pamoja na za brela ambao wameitwa tayari kazini pia kuna watu wamefanya interview siku za hizi karibuni na wameitwa pia. Walisema wiki 2 hadi 3, tembelea website ya ajira lkn sasa ni zaidi ya mwezi na wiki.
 
Tena zimetoka Hadi za TARI tena saili ilifanyika majuzi tu
 
Mkuu nami nimeanza kuingiwa na wasiwasi aisee,tunaenda mwezi wa pili sasa na hakuna taarifa yoyote kuhusu kuchelewa kwake,...
Au wameita kimya kimya
 
Mkuu huu utaratibu wa kuita kimyakimya utakuwa ndio umeanzia hapa,na kwa Nini hapa??
Sasa walivyosema ndani ya wiki mbili hadi tatu na saivi ni miezi miwili kimya wala hakuna hata taarifa yoyote, cha ajabu taasisi zingine waliofanya hivi karibuni wameitwa. Bora watoe taarifa yoyote kuliko kukaa kimya
 
Me nadhani Kuna haja ya kufika ofisi za utumishi aisee,it has gone beyond tolerance

Ni kweli maana ni bora watupe taarifa yoyote hatuelewi shida ni nini
 
Hivi credit Officer self anaanza na basic salary ya shng ngap vile
 
Mtoa mada atumbie vipi kapata au miyeyusho
 
Oya mitihani ya self microfinance wamebase wapi Sana maswali,japo tunajua kuwa mtihani inabadilika
 
Back
Top Bottom