😂😂Naskia kulikuwa na uchakachuaji
Kuna ukweli hpo kiongozi?Naskia kulikuwa na uchakachuaji
Mkuu nami nimeanza kuingiwa na wasiwasi aisee,tunaenda mwezi wa pili sasa na hakuna taarifa yoyote kuhusu kuchelewa kwake,...Naskia kulikuwa na uchakachuaji
Mkuu huu utaratibu wa kuita kimyakimya utakuwa ndio umeanzia hapa,na kwa Nini hapa??Au wameita kimya kimya
Sasa walivyosema ndani ya wiki mbili hadi tatu na saivi ni miezi miwili kimya wala hakuna hata taarifa yoyote, cha ajabu taasisi zingine waliofanya hivi karibuni wameitwa. Bora watoe taarifa yoyote kuliko kukaa kimyaMkuu huu utaratibu wa kuita kimyakimya utakuwa ndio umeanzia hapa,na kwa Nini hapa??
Sasa walivyosema ndani ya wiki mbili hadi tatu na saivi ni miezi miwili kimya wala hakuna hata taarifa yoyote, cha ajabu taasisi zingine waliofanya hivi karibuni wameitwa. Bora watoe taarifa yoyote kuliko kukaa kimya