Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Hawa jamaa wajanja sana wamepima upepo wameona hakuna dalili njema na kukumbatia mafisadi ni kujimaliza wenyewe, dawa ni kuwabeba wote.
Makamba ni mnafiki mkubwa sana> tena kama ccm hawajajua huyu ndiye anaekiharibu chama. Sijui yukoje huyo jamaaa
Makamba ndo KATIBU MKUU TAIFA WA CCM..Kwa nafasi yake hiyoo anaongoza sekretariati ya chama hicho tawala na katibu wa vikao vyotee vya juu vya chama..
Tukimjadilii kama kiongozi wa chama kitaifa tutatambua nguvuu yakee kichama.
sa si wangekuja wale wenyewe walioinjinia mpango wa kutaka kumwondoa Sitta? Kwa nini waendelee kutuma wapambe? radhi yao haitakubalika mpaka watakapokuja na wao kumshika mkono mamaNinachompendea Makamba ni kwamba ana mbinu na staili nyingi za kuomba radhi hasa anapogundua amekosea. Sitta msamehe Katibu wako Mkuu, kamshika mkono hadi mama yako mzazi, hakuna samahani nzito kuliko hiyo. Tatizo ni kwamba Makamba akichokonolewa kidogo tu atalipuka na kuropoka tena!