Hii nini 👇🏾Hawawezi kutoa ufafanuzi wowote wala kujibu swali lolote kuhusu ule mkataba wa kinyonyaji waliotuingiza.
Wanachotakiwa kufanya tuwaone wako nasi pamoja, ni kuuvunja ule mkataba potelea mbali hata kama waarabu wakitudai fidia.
Kuna foleni za nini huko "zenji"?Huku zenji mwarabu alivyo na dharau hakai foleni yoyote.
Dar watapigwa ngumi, sidhani wana akili ya watumwa kama huku ya kumpisha bwana mkubwa.
Uganda wametunga sheria ya kuhukumu mashoga sababu hali ni mbaya,wewe unasema linakuzwa humu jf,kwani ilo swala linazungumzwa hapa tu platform zingine azlipigiwi kelele?Unaongelea mashoga wanaofahamika mkuu, na hata ivo sasa hivi mnawapa nguvu. Haya huko kupinga kwenu kumesaidia nini, kwani hawapo?? Shughuli haziendi?? Vijana hawafanyi kazi?? Hao unaowatuhumu ni mashoga hawafanyi kazi za kjwaingizia kipato??
Jamii inajua hilo jambo ni baya ila humu mitandaoni ni kama linatangaza indirectly, yani ni kama kusema unapinga biashara ya malaya halafu unatoa mifano ya wanakopatikana na bei zao, sasa hapo unapinga au unatangaza. Humu mnatangaza hampingi, nje ya kusema "nauchukia ushoga" huoni nyuzi za kuelimisha madhara yake ila mnasema mnapinga.
Ndo ivo subiri uchaguzi, hiyo ndo njia sahihi na hata vyama vya upinzani vinajua hilo.
Ndio maana kinachopiganiwa ni iwepo tume huru na ya haki kwasababu wanajua sanduku la kura ndio muamuzi na sio kudai madaraka kwa mtutu.
Hii safi sana, tuwahamasishe na wengine, hii inatupatia bandari bora kabisa katika Afrika.Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.
DP world kazi wanayo.
View attachment 2661244
View attachment 2661245
Leo kuna maandamano usikose.Endelea kujifariji
WellWabara.
WellWabara.
Nchi yako unairibu mwenyeweHao waarabu tunapata taarfa zao uku nje ni watu wa fujo kuharibu nchi za watu
Issue ni kuukataa mkabata huu kw aumoja wetuHayo ndio tuliyoyataka kutoka kwa Magu..hawa mnaowaita wapenda demokrasia si mmeona wanachofanya..sasa ukiporwa nchi hiyo demokrasia utaitoa wapi?? Maana hata huo uhuru huna tena..
Issue ni kuukataa mkabata huu kw aumoja wetuHayo ndio tuliyoyataka kutoka kwa Magu..hawa mnaowaita wapenda demokrasia si mmeona wanachofanya..sasa ukiporwa nchi hiyo demokrasia utaitoa wapi?? Maana hata huo uhuru huna tena..
Sio kweli wazungu waliua watemi wengi tu pia ndio walio kuwa wanunua watumwa,lakini mbona mnawapenda?kuna jambo limejificha nyuma ya mkataba sio buleAkili za kibongo ndizo hizi, zimejaa hasira dhidi ya yale waliyotendewa mababu zetu zaidi ya miaka mia moja iliyopita. Zimejikita kwenye visasi vya kabla hata hawajazaliwa, poor african minds.
Toka zile ripoti za Mwakyembe umeona tena linazungumziwa?? Tatizo limeisha? Au watu wamesahau?Uganda wametunga sheria ya kuhukumu mashoga sababu hali ni mbaya,wewe unasema linakuzwa humu jf,kwani ilo swala linazungumzwa hapa tu platform zingine azlipigiwi kelele?
Kuhusu kuitoa serikali ya CCM kwa kupiga kura hapo sina neno,kwasababu njia hiyo hata watala wa nchi wanafurahi wakisikia hayo maneno.
Foleni za mchuzi wa pweza, za kuiba, kugombania choo baada kutu kutoka bila khabar, za kununua jelly mafuta, za kununua khaluwa, za kununua pempas nk nk kuna fweleni nyingi tuuKuna foleni za nini huko "zenji"?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mchuma janga hula na wanawesasa kwanini munalalamika na kutukana waarabu?
Uelewa wetu ndio tatizo kwani ni mdogo wa masuala haya ya biashara za mikataba. Swala la babu zetu kuuliwa na wazungu ni historia, huwezi kuishi kwa kufuga chuki wenye kustaarabika wanafuga kuku, mbwa, paka na ng'ombe hawafugi chuki za mambo yaliyowatokea mababu zetu.Sio kweli wazungu waliua watemi wengi tu pia ndio walio kuwa wanunua watumwa,lakini mbona mnawapenda?kuna jambo limejificha nyuma ya mkataba sio bule
Bahati mbaya mimi si kati ya watu wanye matarajio so huwa sifagilii upande wowote hadi nitakaoona neema kwa kila Mtanzania si familia yangu tu.Kinachosikitisha Tanzania bara, kumbuka kuwa yanayofanywa leo na mama Samia kupitia DP World, yangefanywa kiuaminifu na TICTS miaka zaidi ya 20 nyuma, leo hii Tanzania ingekuwa inafaidika na kwa andari zake kuchangia zaidi ya 100% ya bajeti ya sasa.
Leo mama kapigana ndani ya muda wake mchache aliokuwepo kuwang'oa TICTS ambao walishaota mizizi ambayo ilimshinda hata mwendazake kuwang'oa kibabe. Walikuwa watata kuondoka na wajanja sana na wana nguvu sana. Unagahamu juwa TICTS ilikuwa inamilikiwa na shurika kubwa lankuendesha bandari duniani?
Mkipenda kuyajuwa mtaniuliza ntawapa japo kwa uchache ninavyojuwa vita hii ys kiuchumi imepiganwa vipi. Kwa Wsislam tunasema mama kafanya jihadi kuinusuru Tanzania jutoka tumboni mwa nyangumi, Mwenyezi Mungu kamsaidia kwa nia yake njema na ucha Mungu wake.
Kuhusu Zanzibar, Mwinyi anafanya vizuri sana na kisha saini mikataba na kampuni za kuwekeza kwenye Bandari, kama sikosei tayari bandari mbili za Zanzibar. Yeye alianza na Airport ya Unguja.
Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.
DP world kazi wanayo.
View attachment 2661244
View attachment 2661245
Yuko uchi ndo maana anapopolewa.Ukiona mti unapopolewa ujuwe una matunda.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.