Nataka nijue dini yake Kwanza huyo Waziri halafu nitie neno
muislamu lakini hasali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nijue dini yake Kwanza huyo Waziri halafu nitie neno
So whathata bikra maria alikuwa akivaa shuka kichwani
Inaelekea mulamula ni mtu wa msimamo wa siasa za kizalendo huku mama ni mtu wa maslahi mbele.Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona.
Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa nchini Marekani.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania.
Kidiplomasia anawajibika kuwepo kwenye shughuli zote za Kiserikali, zinazohusiana na Diplomasia na mahusiano ya kimataifa. Pale anapokuwepo Rais kwenye ziara za nje ya nchi.
Hata huyo JK...kilichompatia uzoefu na hadi kuwaaminisha watanzania kwamba angeweza kuongoza nchi hii.
Alianzia huko huko kwenye ziara za Mzee Mkapa (R.I.P).
Liberata Mulamula alianza kwa kasi na kuwa na vyombo vya habari mara nyingi,akiitolea taarifa mbalimbali Serikali kupitia Wizara yake na matukio husika.
Lakini kuanzia kwenye Royal Tour, hatukumuona tena na badala yake tulimuona Bwana Hassan Abbas na wengineo akiwemo Zuhura Yunus.
Hali imeendelea hivyo na hata ziara zilizofuatia hivi karibuni.
ikiwemo ya Uganda na sasa huko Ghana.
Tunaomba mwenye kujua nini kilichomsibu waziri wetu.
Atuwekee hadharani, kwa sababu huyu ni kiongozi wa umma na anapaswa kuwepo kwenye eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria na katiba.
So what
hata bikra maria alikuwa akivaa shuka kichwani
Hili tukio kwenye picha ndio limemponza,Tuna Raisi mwenye very low self esteem,wakati waziri yupo UN,Rais akakimbilia Msumbiji kuzindua halmashauri!!Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona.
Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa nchini Marekani.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania.
Kidiplomasia anawajibika kuwepo kwenye shughuli zote za Kiserikali, zinazohusiana na Diplomasia na mahusiano ya kimataifa. Pale anapokuwepo Rais kwenye ziara za nje ya nchi.
Hata huyo JK...kilichompatia uzoefu na hadi kuwaaminisha watanzania kwamba angeweza kuongoza nchi hii.
Alianzia huko huko kwenye ziara za Mzee Mkapa (R.I.P).
Liberata Mulamula alianza kwa kasi na kuwa na vyombo vya habari mara nyingi,akiitolea taarifa mbalimbali Serikali kupitia Wizara yake na matukio husika.
Lakini kuanzia kwenye Royal Tour, hatukumuona tena na badala yake tulimuona Bwana Hassan Abbas na wengineo akiwemo Zuhura Yunus.
Hali imeendelea hivyo na hata ziara zilizofuatia hivi karibuni.
ikiwemo ya Uganda na sasa huko Ghana.
Tunaomba mwenye kujua nini kilichomsibu waziri wetu.
Atuwekee hadharani, kwa sababu huyu ni kiongozi wa umma na anapaswa kuwepo kwenye eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria na katiba.
Wakati wa uvamizi ulikuwa secretary wa Putin, bila Shaka kwani inaelekea unajua mengi kuhusu SMOAzov hawakuishambulia Urusi. Lengo la kwanz ala urusi ilikuiwa ni kuichukua ardhi yote ya Ukraine kwa kuondoa Serikali Kiev na kuweka ya kwao, ndiyo maana waliivamia Ukraine kutoka pande tatu za dunia. Baada ya kushindwa, ndiyo wakaanza kuhamia mashariki. Kama lengo lao lilikuwa ni hicho kikosi cha Azov tu (bila sababu yoyote ya msingi) basi baada ya kuwakamata walipoishiwa risasi, chakula na maji basi vita ingeanzia na kuishia hapo.
Mmh 75 ?!?! Acheni hizo nyie...sisi wengine tunamfahamu vizuri Liberata na hata na pacha wake..Mama sa100 ana 62, mulamula 75.
Hata kuuwa sio tatizo inategeme na mazingira husika, yeye anaongea mambo ya msingi huku anacheka cheka yani hata hujui anachocheka ni nini.Kwani kucheka ni tatizo?
Unaelewa ulichoandika ?Mama Mula Mula ni mzungu na Mwana diploma dia kindaki Ndani hawezi figisu figisu na Ndumba ( Uganda)hili angedumu kwenye wizara
Kubishana na warusi wa Manzese ni kugumu sanaWakati wa uvamizi ulikuwa secretary wa Putin, bila Shaka kwani inaelekea unajua mengi kuhusu SMO
Vipi kuhusu pro-NATO wa mtoni kwa Aziz AllyKubishana na warusi wa Manzese ni kugumu sana
Kuna waandishi wa habari walitumwa na mtu ambaye hajulikani kwenda kumchokonoa kimaudhi (provocation) ambapo alishindwa kubaini nia yao na kwamba maongezi yalikuwa yanarekodiwa akajichanganya atamka kwamba " hata sijisikii kuendelea kuwa kiongozi...."Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.