Kulikoni Waziri Liberata Mulamula! Au Ameparura Mahali?

Inaelekea mulamula ni mtu wa msimamo wa siasa za kizalendo huku mama ni mtu wa maslahi mbele.
 
Hili tukio kwenye picha ndio limemponza,Tuna Raisi mwenye very low self esteem,wakati waziri yupo UN,Rais akakimbilia Msumbiji kuzindua halmashauri!!
 

Attachments

  • Screenshot_20221003-072612_1.jpg
    60.5 KB · Views: 9
Mama Mula Mula ni mzungu na Mwana diploma dia kindaki Ndani hawezi figisu figisu na Ndumba ( Uganda)hili angedumu kwenye wizara
 
Wakati wa uvamizi ulikuwa secretary wa Putin, bila Shaka kwani inaelekea unajua mengi kuhusu SMO
 
Kuna waandishi wa habari walitumwa na mtu ambaye hajulikani kwenda kumchokonoa kimaudhi (provocation) ambapo alishindwa kubaini nia yao na kwamba maongezi yalikuwa yanarekodiwa akajichanganya atamka kwamba " hata sijisikii kuendelea kuwa kiongozi...."

Mwezi huu wa kumi Mungu aliye hai ataupima uadilifu wa utawala kupitia amri kumi zake. Kuna amri moja ukiivunja ni swa umevunja amri zote kwa sababu pamoja na kumtendea mtu mwingine ndivyo isivyo lakini pia unaiharibu nafsi yako moja kwa moja ni mpaka ujitie kosa hilo hadharani mbele ya mwenye amri hizo na kuomba msamaha vinginevyo kuna balaa

Wengi watamkumbuka sana JPM pamoja na kwamba alikuwa mkali lakini alikuwa 'objective with logical reasoning that earned the normal citizens' trust for his genuine devotion to resolving the outstanding challenges which they faced.
 
Mulamula alivamia pori Kwa makeke sana. Katulizwa na 2025 asahau kabisa mambo ya ubunge. Uchawi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…