Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamuomba tu kistaarabu kupumzika, ila bado alikuwa hajastaafu si alikuwa balozi wa TZ Japan kama sikosieMkuu!
Sasa kosa hapo, ni lake au mteuzi wake?
Kwa vile kati ya mwaka 2002 na 2004 nilifanya kazi nyingi sana na Pentagon na nilikuwa na marafiki wengi wa ngazi za juu sana, wengi waliamini kuwa Sadam alikuwa na silaha za maangamizi ambazo zingeweza kutumiwa na Al Qaeda dhidi ya marekani ila walikuwa bado wanalifanyia kazi jambo hilo. Tatazo ni kuwa baada ya 9/11wakageuka kuwa katika mode ya kufanya maamuzi ya haraka kuzuia hilo lisotokee. Hata hivyo bado kuna diplomats kadhaa waliojiuzuru, kwa mfano John Brown alijiuzuru kwa kuona kuwa uamuzi huo ulifanyika kwa haraka sana.Marekani alipoivamia Iraq kwa kuzusha uongo wa silaha za maangamizi hatukusikia diplomat yeyote akijiuzulu.
Diplomats wa marekani hawana integrity?!
Wala hana hata umri wa kupoteza kumbukumbuku, wakina Warioba bado wapo vizuri tu wakiongea wanaeleweka.Umri umeenda sana atakuwa kaanza kupoteza kumbukumbu
Kwa nini Rais alimteua? Najua wengi hawamkubali Kabudi, lakini nadhani aliimudu sana kazi ile japokuwa hakuwa na backaground hiyo. Malengo la Wizara ya mambo ya nje ni matatu tu: (1) Interests za Tanzania, (2) Interests a Tanzania, (3) Interests za Tanzania. Kabudi kama kiongozi alizijua sana interests hizo kuliko huyu mama ambaye kimsingi ni mkaa kati kati.Umri umeenda sana atakuwa kaanza kupoteza kumbukumbu
Kikosi cha Azov kabla ya kuingizwa kwenye jeshi la Ukraine walikuwa wanamgambo sawa na Alqaida.Urusi haikushambuliwa au kudhuriwa lolote na wala haikuwa iasumbuliwa na terrosrit wowote wenye links na Ukraine bali iliivamia ili kuinyang'anya sehemu ya ardhi yake.
Azov hawakuishambulia Urusi. Lengo la kwanz ala urusi ilikuiwa ni kuichukua ardhi yote ya Ukraine kwa kuondoa Serikali Kiev na kuweka ya kwao, ndiyo maana waliivamia Ukraine kutoka pande tatu za dunia. Baada ya kushindwa, ndiyo wakaanza kuhamia mashariki. Kama lengo lao lilikuwa ni hicho kikosi cha Azov tu (bila sababu yoyote ya msingi) basi baada ya kuwakamata walipoishiwa risasi, chakula na maji basi vita ingeanzia na kuishia hapo.Kikosi cha Azov kabla ya kuingizwa kwenye jeshi la Ukraine walikuwa wanamgambo sawa na Alqaida.
Ndio hawa waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda cha chuma Mariupol.
Yule diplomat kaachia ngazi kupinga vita ya dikteta Putin huko UkraineWakati mwingine diplomat na politician wanaweza kuwa watu tofauti sana. Jana umesikia kuwa diplomat mmoja wa Urusi kwenye taasisi moja ya umoja wa mataifa amejizuru wadhifa huo kwa sababu asiengeweza kufanya kazi ya propaganda za politician.
Bongo hakuna kujiuzulu, wanalipwa hela nyingi sana hao na wanakula sana kodi zetu jidanganyeKweli nilisikia kwamba amejiuzuru.
Kwanza yeye havai shuka kichwani, pili sio rahisi kwa wanawake kukaa pamoja bila kusiutana au hata kuoneana wivu ikiwa ni pamoja na kunyang'anyana mabwanaNi kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona.
Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa nchini Marekani.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania.
Kidiplomasia anawajibika kuwepo kwenye shughuli zote za Kiserikali, zinazohusiana na Diplomasia na mahusiano ya kimataifa. Pale anapokuwepo Rais kwenye ziara za nje ya nchi.
Hata huyo JK...kilichompatia uzoefu na hadi kuwaaminisha watanzania kwamba angeweza kuongoza nchi hii.
Alianzia huko huko kwenye ziara za Mzee Mkapa (R.I.P).
Liberata Mulamula alianza kwa kasi na kuwa na vyombo vya habari mara nyingi,akiitolea taarifa mbalimbali Serikali kupitia Wizara yake na matukio husika.
Lakini kuanzia kwenye Royal Tour, hatukumuona tena na badala yake tulimuona Bwana Hassan Abbas na wengineo akiwemo Zuhura Yunus.
Hali imeendelea hivyo na hata ziara zilizofuatia hivi karibuni.
ikiwemo ya Uganda na sasa huko Ghana.
Tunaomba mwenye kujua nini kilichomsibu waziri wetu.
Atuwekee hadharani, kwa sababu huyu ni kwakiongozi wa umma na anapaswa kuwepo kwenye eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria na katiba.
View attachment 2237882
Kabudi alikosea sana kwa mengi.Kwa nini Rais alimteua? Najua wengi hawamkubali Kabudi, lakini nadhani aliimudu sana kazi ile japokuwa hakuwa na backaground hiyo. Malengo la Wizara ya mambo ya nje ni matatu tu: (1) Interests za Tanzania, (2) Interests a Tanzania, (3) Interests za Tanzania. Kabudi kama kiongozi alizijua sana interests hizo kuliko huyu mama ambaye kimsingi ni mkaa kati kati.
wewe ni mmoja wa wasiomkubali. Nimesema kuwa kuna wasiomkubali, lakini elewa kuwa lengo lake kama waziri wa mambo ya nje siyo kujadiliana, kazi ambayo inafanywa na diplomats. Kazi ya waziri ni kuproject interests za Tanzania, na alifanya vizuri sana.Kabudi alikosea sana kwa mengi.
Bila shaka inategemea msimamo wa rais aliye madarakani.Kazi ya waziri ni kuproject interests za Tanzania, na alifanya vizuri sana.
Alikuwa amekwishastaafu.Anamuomba tu kistaarabu kupumzika, ila bado alikuwa hajastaafu si alikuwa balozi wa tz Japan kama sikosie