Kulikoni Waziri Liberata Mulamula! Au Ameparura Mahali?

Mama anachukua nafasi ya kama rais na waziri wa mambo ya nje... So akaona labda ake pembeni..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh!
 
Marekani alipoivamia Iraq kwa kuzusha uongo wa silaha za maangamizi hatukusikia diplomat yeyote akijiuzulu.

Diplomats wa marekani hawana integrity?!
Kwa vile kati ya mwaka 2002 na 2004 nilifanya kazi nyingi sana na Pentagon na nilikuwa na marafiki wengi wa ngazi za juu sana, wengi waliamini kuwa Sadam alikuwa na silaha za maangamizi ambazo zingeweza kutumiwa na Al Qaeda dhidi ya marekani ila walikuwa bado wanalifanyia kazi jambo hilo. Tatazo ni kuwa baada ya 9/11wakageuka kuwa katika mode ya kufanya maamuzi ya haraka kuzuia hilo lisotokee. Hata hivyo bado kuna diplomats kadhaa waliojiuzuru, kwa mfano John Brown alijiuzuru kwa kuona kuwa uamuzi huo ulifanyika kwa haraka sana.

Urusi haikushambuliwa au kudhuriwa lolote na wala haikuwa inasumbuliwa na terrorist wowote wenye links na Ukraine bali iliivamia ili kuinyang'anya sehemu ya ardhi yake. Vita yote inayoendelea sasa hivi ni kwa sababu Urusi inataka kuchukua sehemu ya ardhi ya Ukraine iwe ya Urusi, jambo ambalo likiruhusiwa basi nchi ndogo zitakuwa na matatizo sana. Urusi ni nchi yenye ardhi kubwa sana dunini, kwa nini ifanye hizo jitihada za kunyang'anya ardhi kutoka nchi ndogo kwa kuuwa watu bila kujali?
 
Umri umeenda sana atakuwa kaanza kupoteza kumbukumbu
Kwa nini Rais alimteua? Najua wengi hawamkubali Kabudi, lakini nadhani aliimudu sana kazi ile japokuwa hakuwa na backaground hiyo. Malengo la Wizara ya mambo ya nje ni matatu tu: (1) Interests za Tanzania, (2) Interests a Tanzania, (3) Interests za Tanzania. Kabudi kama kiongozi alizijua sana interests hizo kuliko huyu mama ambaye kimsingi ni mkaa kati kati.
 
Urusi haikushambuliwa au kudhuriwa lolote na wala haikuwa iasumbuliwa na terrosrit wowote wenye links na Ukraine bali iliivamia ili kuinyang'anya sehemu ya ardhi yake.
Kikosi cha Azov kabla ya kuingizwa kwenye jeshi la Ukraine walikuwa wanamgambo sawa na Alqaida.

Ndio hawa waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda cha chuma Mariupol.
 
Kikosi cha Azov kabla ya kuingizwa kwenye jeshi la Ukraine walikuwa wanamgambo sawa na Alqaida.

Ndio hawa waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda cha chuma Mariupol.
Azov hawakuishambulia Urusi. Lengo la kwanz ala urusi ilikuiwa ni kuichukua ardhi yote ya Ukraine kwa kuondoa Serikali Kiev na kuweka ya kwao, ndiyo maana waliivamia Ukraine kutoka pande tatu za dunia. Baada ya kushindwa, ndiyo wakaanza kuhamia mashariki. Kama lengo lao lilikuwa ni hicho kikosi cha Azov tu (bila sababu yoyote ya msingi) basi baada ya kuwakamata walipoishiwa risasi, chakula na maji basi vita ingeanzia na kuishia hapo.
 
Wakati mwingine diplomat na politician wanaweza kuwa watu tofauti sana. Jana umesikia kuwa diplomat mmoja wa Urusi kwenye taasisi moja ya umoja wa mataifa amejizuru wadhifa huo kwa sababu asiengeweza kufanya kazi ya propaganda za politician.
Yule diplomat kaachia ngazi kupinga vita ya dikteta Putin huko Ukraine
 
Kwanza yeye havai shuka kichwani, pili sio rahisi kwa wanawake kukaa pamoja bila kusiutana au hata kuoneana wivu ikiwa ni pamoja na kunyang'anyana mabwana
 
Kabudi alikosea sana kwa mengi.
 
Kazi ya waziri ni kuproject interests za Tanzania, na alifanya vizuri sana.
Bila shaka inategemea msimamo wa rais aliye madarakani.

Hata Blinken na Pompeo wanaweza kuonekana kama wako tofauti kimisimamo japo wote wanatumikia nafasi ileile katika taifa lilelile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…