Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Habari wadau,

Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya.

Unaenda mwezi wa pili sasa Mbowe alishazunguka kanda nyingi lakini hakuna kanda hata moja walipoonekana wakipokea Wanachama wapya wala kurudisha kadi! Kulikoni?

Hata sehemu ambazo walilazimisha maandamano wameonekana wakiandamana peke yao bila wananchi kuwaunga mkono, kulikoni?
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna?

Ngoja tuone.
 
Hivi mkuu inaweza kupita siku nzima bila wewe kuandika maneno mawili haya: "Chadema au Mbowe?...
Hili swali limfikie na WAKUDADAVUA pia.

Yaani haya ni ma-CEO ya MAPOPOMA, nyuzi zao zote ni MBOWE NA CHADEMA hadi yanakera.

Yanadhani hizi bado ni enzi za kujipendekeza na kupata teuzi kwa kupambana na Mbowe/Chadema kumbe yapo nyuma wakati!
 
Back
Top Bottom