Kulikua na haja gani ya kuiita INEC wakati inaitegemea NIDA?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba.

Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya wadanganyika. Sasa Bi Mdashi umetudanganya vi ngapi mpaka sasa hivi.?

Kulikua na haja ya kuwa na INEC kumbe haijisimamii yenyewe!
 
IMG-20250418-WA0000.jpg
 
Ulikuwa hujui kwamba Serikali ya CCM ni mkusanyiko wa low-IQ Neanderthals? Wao wanajua tume inakuwa huru kwa kuitwa tu “Tume Huru”!😅
 
Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba.

Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya wadanganyika. Sasa Bi Mdashi umetudanganya vi ngapi mpaka sasa hivi.?

Kulikua na haja ya kuwa na INEC kumbe haijisimamii yenyewe!
Vijana mnatusumbua tutawafunga all in all hii nchi Inaitaji reforms kila sehemu kwenda na wakati
 
Kwenye 4R za bi Mwenda , R mojawapo ni Reforms sasa najiuliza anaona ugumu gani kufanya reforms za kweli katika tume ya uchaguzi maana tume imabadilishwa jina ila sio huru kimuundo bali kwa jina tu.
 
Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba.

Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya wadanganyika. Sasa Bi Mdashi umetudanganya vi ngapi mpaka sasa hivi.?

Kulikua na haja ya kuwa na INEC kumbe haijisimamii yenyewe!
Nchi Imeaibika sana kwa siri hii ya kijinga kufichuliwa Dunia nzima
 
Kwenye 4R za bi Mwenda , R mojawapo ni Reforms sasa najiuliza anaona ugumu gani kufanya reforms za kweli katika tume ya uchaguzi maana tume imabadilishwa jina ila sio huru kimuundo bali kwa jina tu.
Reforms atakazokubi ni za kubadilisha waganga kutoka wa kisomo wawe wa tunguli.
 
Unategemea Nini kwa viongozi wenye Elimu papatu papatu!Tume Gani huru inateuliwa na mgombea wa upande mmoja?basi tufanye kinyume wapinzani ndio wateue uone maccm yatakavyo toa milio.
 
Back
Top Bottom