Sahivi wameshona vizuri snKwasababu CCM wamejaa ignorance anguko lao litakuwa ghafla na hawataamini.
Ulikuwa hujui kwamba Serikali ya CCM ni mkusanyiko wa low-IQ Neanderthals? Wao wanajua tume inakuwa huru kwa kuitwa tu “Tume Huru”!😅Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba.
Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya wadanganyika. Sasa Bi Mdashi umetudanganya vi ngapi mpaka sasa hivi.?
Kulikua na haja ya kuwa na INEC kumbe haijisimamii yenyewe!
Vijana mnatusumbua tutawafunga all in all hii nchi Inaitaji reforms kila sehemu kwenda na wakatiKatiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba.
Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya wadanganyika. Sasa Bi Mdashi umetudanganya vi ngapi mpaka sasa hivi.?
Kulikua na haja ya kuwa na INEC kumbe haijisimamii yenyewe!
Nchi Imeaibika sana kwa siri hii ya kijinga kufichuliwa Dunia nzimaKatiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba.
Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya wadanganyika. Sasa Bi Mdashi umetudanganya vi ngapi mpaka sasa hivi.?
Kulikua na haja ya kuwa na INEC kumbe haijisimamii yenyewe!
Hawa chawa wamepigwa na butwaa, hawaamini kama dozi imekuwa kali hivi. Shame on you CCM.Lucas Mwashamba leo ana kazi sana
Reforms atakazokubi ni za kubadilisha waganga kutoka wa kisomo wawe wa tunguli.Kwenye 4R za bi Mwenda , R mojawapo ni Reforms sasa najiuliza anaona ugumu gani kufanya reforms za kweli katika tume ya uchaguzi maana tume imabadilishwa jina ila sio huru kimuundo bali kwa jina tu.
Aibu kubwa sana!