Kulikuwa hakuna adhabu nyingine kwa hawa watoto wadogo hadi kuwaua kikatili?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Nimeweka mstari huu wa bible kutoka biblia ya KJV kwa sababu ya kiswahili imechakachuliwa tafsiri yake. Nabii Elisha akiwa kwenye matembezi akakutana na kundi la watoto wadogo waliokuwa wakimtania kuhusu kipara cha kushangaza wakatokea dubu wawili kimiujiza na kuwaua watoto 42 kikatili kama adhabu ya kumtania nabii. Kwangu mimi huu ni ukatili uliopitiliza. Hawa watoto wangeweza kamatwa na kutandikwa viboko wakawa na adabu badala ya kuwaua. Naona agano la kale limejaa ukatili wa kutisha mno.

2 KINGS 2:23-24

23 And he went up from thence unto Bethel: and as he was going up by the way, there came forth little children out of the city, and mocked him, and said unto him, Go up, thou bald head; go up, thou bald head.
24 And he turned back, and looked on them, and cursed them in the name of the LORD. And there came forth two she bears out of the wood, and tare forty and two children of them.".
 
1730561726242.jpg
 
hofu ilikuwa imemtawala yule
 
Back
Top Bottom