Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Wanalibya walibeba silaha wakaingia vitani halafu wanaisingizia Marekani.Waliomuua si walibya wenzake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalibya walibeba silaha wakaingia vitani halafu wanaisingizia Marekani.Waliomuua si walibya wenzake?
Putin hana muda na precision targeting. Anaweza angamiza kijiji ili kutokomeza adui yake mmoja tu. Hata mkakati wa vita wa Urusi ndivyo ulivyo. Little regard for human life. Collateral damage & canon fodder in thousands.
Halafu eti viongozi wa Africa wanamkumbatia huyu jambazi?.Mzuka wanajamvi!
Mwanadada mrembo Kristina Raspopova alikuwa muhudumu kwenye ndege iliyopata ajali na kumuua boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin aliwasiliana na familia yake kabla ya safari kwa kushangaa kwanini safari iliahirishwa eti ndege inafanyiwa matengenezo. Kumbe wanachomeka mabomu.
Sasa kama Putin alitaka kuwaua Boss wa Wagner Prigozhin na wenzake kwanini sasa akawatoa kafara marubani wawili na huyu flight attendant mrembo ambao hawana hatia?
Ni roho mbaya tu hili liputin limemwaga damu Ukraine. Angewaua tu wahuni wenzake kina Prigozhin huko.
Lenyewe limebaki kujificha kwenye mahandaki likila na kulala. Lioga kama nini limeogopa hata kwenda kwenye mkutano wa Brics. Hata kama atasingizia hamna umeme Africa Kusini lakini si kuna standby generators?
Putin na genge lake wanadhani wataishi milele?
Gaddafi aliuwawa na Walibya wenyewe waliomkuta amejificha kwenye mtaro wakati wa mapigano.
Rejea pia Chechnya ilivyogeuzwa magofu,Putin hana muda na precision targeting. Anaweza angamiza kijiji ili kutokomeza adui yake mmoja tu. Hata mkakati wa vita wa Urusi ndivyo ulivyo. Little regard for human life. Collateral damage & canon fodder in thousands.
Rejea umaarufu wa Gen Armageddon (Sergey Surovikin) kule Syria na hivi karibuni Ukraine kabla hajafifia. Ni scorched earth policy tu. Prigozhin kaunguzwa na watumishi wake including mrembo [emoji853]! Mtu anaamini ataishi milele.
Waliomuua si walibya wenzake?
NyauwewePale unapotumia hisia za kike kwenye jambo lililokuzidi uwezo kifikra ndio unakuwa kama mleta mada.
lee van cliffMzuka wanajamvi!
Mwanadada mrembo Kristina Raspopova alikuwa muhudumu kwenye ndege iliyopata ajali na kumuua boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin aliwasiliana na familia yake kabla ya safari kwa kushangaa kwanini safari iliahirishwa eti ndege inafanyiwa matengenezo. Kumbe wanachomeka mabomu.
Sasa kama Putin alitaka kuwaua Boss wa Wagner Prigozhin na wenzake kwanini sasa akawatoa kafara marubani wawili na huyu flight attendant mrembo ambao hawana hatia?
Ni roho mbaya tu hili liputin limemwaga damu Ukraine. Angewaua tu wahuni wenzake kina Prigozhin huko.
Lenyewe limebaki kujificha kwenye mahandaki likila na kulala. Lioga kama nini limeogopa hata kwenda kwenye mkutano wa Brics. Hata kama atasingizia hamna umeme Africa Kusini lakini si kuna standby generators?
Putin na genge lake wanadhani wataishi milele?
Mambo mengi tunaenda sambamba mkuu. Kasoro hili tu la hili jambazi suguWeka ushahidi hapa usio na chembe ya shaka, wa kuhusika kwa swahiba wangu putin kwenye hiyo ajali
Kwa iyo Russia ni ancient Egypt?Wafalme wakifa usindikizwa kabulini na walio hai.
Basi na hiyo imechaguwa wa kuuwa. Tatizo nini?Ndio
🙌🏿 I surrenderBasi na hiyo imechaguwa wa kuuwa.
Unazumguza nini hata ueleweki - nyie mlijuaje yaliyo zumgumzwa kati ya Prighozin muhudu wa ndege yake - alikuwa anazo mbili we unajua alipanda hipi - halafu anavyo tafutwa kwa udi na uvumba ili auwawe, unafikiri nimjinga kujiingiza kwenye mdomo wa mamba hivi hivi, naye ana mashushu wake wa kuaminika - si ajabu ndegr iliyo pata ajali haikuwa na rubani wala wahudumu wa ndege au Prighozin mwenyewe - jamaa huyu kichwa sana si rahisi kupoteza maisha yake kizembe namna hii - subirini atakuja kuhibukia msiko tegemea - hasa barani Afrika.Mzuka wanajamvi!
Mwanadada mrembo Kristina Raspopova alikuwa muhudumu kwenye ndege iliyopata ajali na kumuua boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin aliwasiliana na familia yake kabla ya safari kwa kushangaa kwanini safari iliahirishwa eti ndege inafanyiwa matengenezo. Kumbe wanachomeka mabomu.
Sasa kama Putin alitaka kuwaua Boss wa Wagner Prigozhin na wenzake kwanini sasa akawatoa kafara marubani wawili na huyu flight attendant mrembo ambao hawana hatia?
Ni roho mbaya tu hili liputin limemwaga damu Ukraine. Angewaua tu wahuni wenzake kina Prigozhin huko.
Lenyewe limebaki kujificha kwenye mahandaki likila na kulala. Lioga kama nini limeogopa hata kwenda kwenye mkutano wa Brics. Hata kama atasingizia hamna umeme Africa Kusini lakini si kuna standby generators?
Putin na genge lake wanadhani wataishi milele?
Msiwasingizie Warusi, balaa la Ukraine Zelensky alilitaka mwenyewe, alionywa mara lukuki lakini hakusikia la mtu zaidi ya Biden na hasa hasa Boris Johson akaambiwa awapuuze Warusi Uingereza na USA watamsaidia kwa hali na mali sasa kiko wapi si afadhali angekubaliana na masharti ya Minsky - ujeuri wa Zelensky ndio utairudisha Ukraine kweye stone age ERA akumbuke kwamba hana ubavu es kushindana na kuishinda a SUPER POWER nation kama Urusi - western nation wataendelea kuitoa kafara Ukraine ili itumike kwenye majaribio ya silaha za magharobi zoezi ambalo wame fail vibaya mno uncluding recent hyped "counter offensive"Viongozi wa Afrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
Wao wanafikiri Russia na China watakuwa msaada sana kwao kumbe wanawekwa kwenye mtego ili rasilimali zote ziende China na Russia.
Baada wajitoe kwenye mfungamano, watengeneze umoja wao Afrika ila wanaenda kwa mkoloni mwingine.
Putin anamuonea wivu sana Marekani, mfaransa na Uingereza kwa kuchukua mali nyingi sana kwahiyo miaka inayokuja baadhi ya nchi zitakuwa ni koloni la mrusi na mchina.
Nchi za Afrika hawajifunzi kwa Ukraine. Kwanini Urusi anaipiga Ukraine? Ukishapata jibu basi ujue Urusi hana nia njema na bara la Afrika.