Kulikuwa na haja gani Putin kuwaua wale marubani na muhudumu wa Ndege badala ya Prigozhin pekee yake?

Putin hana muda na precision targeting. Anaweza angamiza kijiji ili kutokomeza adui yake mmoja tu. Hata mkakati wa vita wa Urusi ndivyo ulivyo. Little regard for human life. Collateral damage & canon fodder in thousands.

Rejea umaarufu wa Gen Armageddon (Sergey Surovikin) kule Syria na hivi karibuni Ukraine kabla hajafifia. Ni scorched earth policy tu. Prigozhin kaunguzwa na watumishi wake including mrembo 🙁! Mtu anaamini ataishi milele.
 
Halafu eti viongozi wa Africa wanamkumbatia huyu jambazi?.
 
Rejea pia Chechnya ilivyogeuzwa magofu,
 
Hiyo 'collective punishment' mpaka kwa wasiohusika ni unyama.
lee van cliff
 
Unazumguza nini hata ueleweki - nyie mlijuaje yaliyo zumgumzwa kati ya Prighozin muhudu wa ndege yake - alikuwa anazo mbili we unajua alipanda hipi - halafu anavyo tafutwa kwa udi na uvumba ili auwawe, unafikiri nimjinga kujiingiza kwenye mdomo wa mamba hivi hivi, naye ana mashushu wake wa kuaminika - si ajabu ndegr iliyo pata ajali haikuwa na rubani wala wahudumu wa ndege au Prighozin mwenyewe - jamaa huyu kichwa sana si rahisi kupoteza maisha yake kizembe namna hii - subirini atakuja kuhibukia msiko tegemea - hasa barani Afrika.
 
Msiwasingizie Warusi, balaa la Ukraine Zelensky alilitaka mwenyewe, alionywa mara lukuki lakini hakusikia la mtu zaidi ya Biden na hasa hasa Boris Johson akaambiwa awapuuze Warusi Uingereza na USA watamsaidia kwa hali na mali sasa kiko wapi si afadhali angekubaliana na masharti ya Minsky - ujeuri wa Zelensky ndio utairudisha Ukraine kweye stone age ERA akumbuke kwamba hana ubavu es kushindana na kuishinda a SUPER POWER nation kama Urusi - western nation wataendelea kuitoa kafara Ukraine ili itumike kwenye majaribio ya silaha za magharobi zoezi ambalo wame fail vibaya mno uncluding recent hyped "counter offensive"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…