Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Hayo nimawazo yako, nani kasema wanajeshi au majenerali wa Urusi hawezi kufia vitani - nani? Kuna walio wahi kufia Afghanistani pamoja na vita vya Chenyehya - hayo ni mambo ya kawaida mkiwa vitani.Ukraine lengo ni kumtia adabu mrusi kitu ambacho ameshakitekeleza, lini ulifikir kwamba siku moja Urusi atapigwa mabomu ndani ya ardhi yake? Lini ulifikir majenerali wa nchi iliyodhaniwa ni tushio kama Russia watakufa kama kuku?
Kila siku nawahoji je mnajua ni majenerali na wanajeshi wangapi walifia kwenye vita ya Ghuba,Afghanistan, Yugoslavia, Syria, Iraq wakati wakujaribu kumpatia ushauri Ayatollah Khomeni dhidi ya Sadam Hussein, wangapi walikufa katika vita ya VietNam, Laos na Cambodia au wewe hilo ulijuhi - na wao walikuwa wanakufa kama kuku na sio kutumia bunduki na mabomu tu bali na sulaha zilizovtengenezwa kwa mianzi - tuonyeshe link hata moja ambayo Urusi iliwahi kuitangaziav Dunia kwamba wao zaidi kijeshi hizo ni stori za vijiweni zenye lengo la kutisha Dunia kwamba Warusi ni binadamu hatari sana (Russians are coming) hizo ndio kampeini chafu za Merikani kuhusu Urusi - tumekwisha wazoea, sikiliza sasa wanavyo wasema Wachina na North Korea - ngojera hizo hizo za kitoto.