Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Serikali ilisema inasikiliza maoni ya watanzania wote kuhusu mkataba wa bandari na viongozi wa dini walikuwa na nafasi kubwa ya kusikilizwa maoni yao
Ikumbukwe Kanisa katoliki walitoa waraka wa kupinga mkataba wa bandari wiki sita lakini leo hii tumewaona wakishiriki pamoja na serikali katika utiaji wa saini na wawekezaji
Swali la msingi kulikuwa na haja gani kuzua taharuki hii kwa watanzania wakati walikuwa wanajua walikuwa wana nafasi ya kusikilizwa kama kanisa Leo hii wimbo umekuwa ni mmoja tu rais anaiuza tanganyika
Kuna wanaharakati wengine wasomi waliokuwa mstari wa mbele nao kupinga mkataba huu mwabukusi,lisu,dk slaa na prof shivji
Hawa niliowataja nilivyowasikia nukuu zao wakisema
Bandari imetolewa bure kwa dpw
mkataba haurekebishiki
Kilichosainiwa kwenye IGA huwa hakibadili
Mkataba huu hauvunjiki