Kulikuwa na haja gani TEC kupinga mkataba wa bandari?

Kulikuwa na haja gani TEC kupinga mkataba wa bandari?

Hoja ya Tec haikuwa vipengere vya mkataba virekebishwe bali hoja yake ilikuwa ni mkataba ufutwe na bandari iendeshwe na wawekezaji wa ndani,acheni kujifariji mmepuuzwa.
Huyo ana hizo hoja zake kazipangilia anapost kila uzi wa tec kuhudhuria dp world..kapewa kazi hiyo
 
Lakini suala la kurekebisha vifungu vya mkataba bali hoja yao ilikuwa ni mkataba ufutwe na wawekezaji wa ndani ndo waendeshe kampuni.
Rudia tena kusoma walisena hawapingi uwekezaji Ila wenye tija utakaozingatia maoni ya wananchi kama inashindikana watafutwe wawekezaji wapya,interpretation ndio issue😁
 
Serikali ilisema inasikiliza maoni ya watanzania wote kuhusu mkataba wa bandari na viongozi wa dini walikuwa na nafasi kubwa ya kusikilizwa maoni yao

Ikumbukwe Kanisa katoliki walitoa waraka wa kupinga mkataba wa bandari wiki sita lakini leo hii tumewaona wakishiriki pamoja na serikali katika utiaji wa saini na wawekezaji

Swali la msingi kulikuwa na haja gani kuzua taharuki hii kwa watanzania wakati walikuwa wanajua walikuwa wana nafasi ya kusikilizwa kama kanisa Leo hii wimbo umekuwa ni mmoja tu rais anaiuza tanganyika

Kuna wanaharakati wengine wasomi waliokuwa mstari wa mbele nao kupinga mkataba huu mwabukusi,lisu,dk slaa na prof shivji

Hawa niliowataja nilivyowasikia nukuu zao wakisema

Bandari imetolewa bure kwa dpw
mkataba haurekebishiki

Kilichosainiwa kwenye IGA huwa hakibadili

Mkataba huu hauvunjiki
Kwani yale mabadiriko yametokana na nini?
 
Hawana jipya hao ni wazandiki tu!!
 
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
Hawana akili ya kuvunja mkataba hawa, bilioni 75 imelipwa kindezi hapa majuzi tu.......huu mkataba ni mwendelezo mwingine wa nchi kupigwa, utawanufaisha wachache waliolamba asali na kuahidiwa mgao wa hisa....muda utaongea.​
 
Tec,Chadema,Slaa na hao wote akiwemo Tibaijuka walikuwa ni pressure groups...wanatumika kushinikiza...kuzuia Dpworld...abaki Ticts au mwingine kutoka Ulaya...

Pressure gruops huwa zina sponsors...
Walilipwa wakafanya kazi wameshindwa...sasa wanarudi kwenye shughuli zao za kila siku
𝐏𝐨𝐢𝐧𝐭𝐥𝐞𝐬𝐬
 
Back
Top Bottom