Kulikuwa na haja gani TEC kupinga mkataba wa bandari?

Hoja ya Tec haikuwa vipengere vya mkataba virekebishwe bali hoja yake ilikuwa ni mkataba ufutwe na bandari iendeshwe na wawekezaji wa ndani,acheni kujifariji mmepuuzwa.
Huyo ana hizo hoja zake kazipangilia anapost kila uzi wa tec kuhudhuria dp world..kapewa kazi hiyo
 
Lakini suala la kurekebisha vifungu vya mkataba bali hoja yao ilikuwa ni mkataba ufutwe na wawekezaji wa ndani ndo waendeshe kampuni.
Rudia tena kusoma walisena hawapingi uwekezaji Ila wenye tija utakaozingatia maoni ya wananchi kama inashindikana watafutwe wawekezaji wapya,interpretation ndio issue😁
 
Kwani yale mabadiriko yametokana na nini?
 
Hawana jipya hao ni wazandiki tu!!
 
Hawana akili ya kuvunja mkataba hawa, bilioni 75 imelipwa kindezi hapa majuzi tu.......huu mkataba ni mwendelezo mwingine wa nchi kupigwa, utawanufaisha wachache waliolamba asali na kuahidiwa mgao wa hisa....muda utaongea.​
 
𝐏𝐨𝐒𝐧𝐭π₯𝐞𝐬𝐬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…