Kulikuwa na haja gani ya Mkude kunywa bia kama alikuwa hana hela?

Kulikuwa na haja gani ya Mkude kunywa bia kama alikuwa hana hela?

Hakika Mkude ni legend
Shime wana JF tuchange michango kumjengea sanamu pale msimbazi au kule Bunju....
Amefata kauli ya Mkulu kuwa ni bora kufanya maamuzi kuliko kutokufanya kabisaaa.....Yaaani nungunungu leo anakumbatiwa na CEO aiseee
 
Simba haiwezi kuendelea kwa kuendekeza wachezaji wazee kama hawa akina mkude, wawa, timu inahitaji dam changa , hawa wazee wataishia kutamba hapa hapa nnje itakuwa kilio kila siku
Sawa kabisa, nakuunga mkono na mguu ila siku nyingine jitahidi uvae nguo ndefu utapendeza hiyo kwa jinsi ulivyo haikufai.
 

Attachments

  • Screenshot_20201230-120706_Chrome.jpg
    Screenshot_20201230-120706_Chrome.jpg
    122.3 KB · Views: 1
Simba ni timu kubwa na Mkude ni star! Ndio maana kila siku tunasikia kauli mpya kuhusu Simba na mastar wake! Nani atakaa awazungumzie vyura?
 
Sawa kabisa, nakuunga mkono na mguu ila siku nyingine jitahidi uvae nguo ndefu utapendeza hiyo kwa jinsi ulivyo haikufai.
Mtani kabla ya yote kwanza Shikamoo. 😂😂
 
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Wee kima! Acha kupindisha ukweli.. Umelipwa sh ngapi kufanya kazi hii ya kuuhadaa umma?
 
Uzee ni kuanzia umri/miaka mingapi? Tuna wazee zaidi ya 85% ya watanzania kwa muktadha huu!
 
Achana na kitu Kiu.... Cha msingi Dewji amlipe malimbikizo yake, atalipa.... Vinginevyo tutaamini ni wivu wa Muddy dhidi ya Nkude na CEO [emoji41]
Huyo muuza bar anamahusiano gani na muddy? Kama hii taarifa niya kweli! Mkude anatuhuma kabisa. Wachache wataelewa hii
 
Mtani kabla ya yote kwanza Shikamoo. 😂😂
Mtani upooo, naona unakula kuku kwa mrija, mambo yenu mwaka huu safi yabidi tukaze buti.

Nilijarib kumshsur ndugu abadili hilo vazi kuongeza hamasa uwanjani😂😂, nasema uwanjani mtani. Maana kachagua kuwa kiburudan 😂😂

Umepotea mtani, heshima yako pia
 
Mtani upooo, naona unakula kuku kwa mrija, mambo yenu mwaka huu safi yabidi tukaze buti.
Acha kabisa usipime vile namna nakula kuku kwa mrija hasa nikiwa kileleni nimetulia pasi bughudha na hofu yeyote. Teh.

Inabidi mkaze buti hasa huku mkizidisha dua mbaya dhidi yetu.
Nilijarib kumshsur ndugu abadili hilo vazi kuongeza hamasa uwanjani😂😂, nasema uwanjani mtani. Maana kachagua kuwa kiburudan 😂😂
Hahahaaa. Hamna mbaya Mtani 😂😂
Umepotea mtani, heshima yako pia
Nipo mtani japo kuna saa mambo zinakuwa mingi. Ahsante nimezipokea Mtani 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom