rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Nayaona manyani kwenye ubora wenu mnabwekabwekaYaani Mikia hata mmemfanya Mo Dewji kuwa Mungu wenu, hata akitema mate mnagombani myalambe [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayaona manyani kwenye ubora wenu mnabwekabwekaYaani Mikia hata mmemfanya Mo Dewji kuwa Mungu wenu, hata akitema mate mnagombani myalambe [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 anaendaje kona bar wakati kuna matako bar dahAlikua Kona Bar kanywa Balimi 19 na nusu, pia aliwaagizia wadada meza ya jirani K.vant kubwa na maji kubwa mbili.
Baada ya hapo akamwambia meneja aandike kwenye kitabu cha madeni kwa jina la Mo.
Sawa kabisa, nakuunga mkono na mguu ila siku nyingine jitahidi uvae nguo ndefu utapendeza hiyo kwa jinsi ulivyo haikufai.Simba haiwezi kuendelea kwa kuendekeza wachezaji wazee kama hawa akina mkude, wawa, timu inahitaji dam changa , hawa wazee wataishia kutamba hapa hapa nnje itakuwa kilio kila siku
Mtani kabla ya yote kwanza Shikamoo. 😂😂Sawa kabisa, nakuunga mkono na mguu ila siku nyingine jitahidi uvae nguo ndefu utapendeza hiyo kwa jinsi ulivyo haikufai.
Wee kima! Acha kupindisha ukweli.. Umelipwa sh ngapi kufanya kazi hii ya kuuhadaa umma?Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Huyo muuza bar anamahusiano gani na muddy? Kama hii taarifa niya kweli! Mkude anatuhuma kabisa. Wachache wataelewa hiiAchana na kitu Kiu.... Cha msingi Dewji amlipe malimbikizo yake, atalipa.... Vinginevyo tutaamini ni wivu wa Muddy dhidi ya Nkude na CEO [emoji41]
Mtani upooo, naona unakula kuku kwa mrija, mambo yenu mwaka huu safi yabidi tukaze buti.Mtani kabla ya yote kwanza Shikamoo. 😂😂
Acha kabisa usipime vile namna nakula kuku kwa mrija hasa nikiwa kileleni nimetulia pasi bughudha na hofu yeyote. Teh.Mtani upooo, naona unakula kuku kwa mrija, mambo yenu mwaka huu safi yabidi tukaze buti.
Hahahaaa. Hamna mbaya Mtani 😂😂Nilijarib kumshsur ndugu abadili hilo vazi kuongeza hamasa uwanjani😂😂, nasema uwanjani mtani. Maana kachagua kuwa kiburudan 😂😂
Nipo mtani japo kuna saa mambo zinakuwa mingi. Ahsante nimezipokea Mtani 🙏🙏🙏Umepotea mtani, heshima yako pia