Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo.
Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka.
Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda wenyewe kwenye mechi hiyo tofauti kabisa na mechi ya Simba kule Liti Stadium - Singida ambapo waliuma meno mwanzo mwisho.
Ni nini kinaendelea kwenye hizi mechi za Yanga??