Kiwango cha tabora inapocheza na Simba uwa kikoje? Mbona uwa wanacheza utadhani wanadai mishahara? Kwanini iwe wanapocheza na Simba tu? Mechi ya yanga na Tabora aijawai kuwa rahisi uwa wanamaliza Kila kitu chao na mechi nyingine za wapinzani,,lakini Simba akifika pale anajipigia tu kuanzia goli 3 na kuendelea,,kama sio upangaji wa matokeo ni nini? Kocha kopunovich aliwai kusema kuwa alishangaa mambo yaliyokuwa yanaendelea siku Moja kabla ya mechi na Simba,,iyo tu ni ishara ya mambo ya ovyo ya kupanga matokeo kati ya Tabora na simba