Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
- Thread starter
- #81
SureLigi yetu inakuwa Externally Intenally Inakufa siku hadi siku.
Ila naona Mpira wetu Unakwenda kufa kwasababu ya Mambo Mengi na Siasa Ikiwemo.
Tanzania Yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureLigi yetu inakuwa Externally Intenally Inakufa siku hadi siku.
Ila naona Mpira wetu Unakwenda kufa kwasababu ya Mambo Mengi na Siasa Ikiwemo.
Tanzania Yangu.
Hata wewe hujaelewaWw ndio hujamuelewa , yy kasema hakuna team huwa inachezesha kikosi Cha pili kwa Tanzania
HongeraMbona timu yangu MC Alger nilisha ileta.
Ila na Simba hapanaSasa timu si yao hata wakiamua kuchezesha kikosi B
Shukuran sanaHongera
Hizo mechi zote zingekuwa sare kwa mujibu wa nani, kwahiyo mnataka wachezaji wa simba wakifanyiwa faulo ndani ya boksi wasipewe penati kisa ninyi mtachukia, ni mechi gani simba ilipewa penati bila mchezaji wake yoyote kufanyiwa faulo semaMechi na pamba Jiji refa aliwapa zawadi ya ushindi,,ilikuwa sare,Mechi na Dodoma Kila mtu aliona ilikuwa sare, mechi na Azam refa akaibuka Tena kuwa Man of the match,,mechi na Jkt hivyo hivyo sasa hizo point 50 ungezipatia wapi? Ungeziiba?
Si maamuz yaoIla na Simba hapana
Utopolo wamevurugwa hawajiamini tena.Hizo mechi zote zingekuwa sare kwa mujibu wa nani, kwahiyo mnataka wachezaji wa simba wakifanyiwa faulo ndani ya boksi wasipewe penati kisa ninyi mtachukia, ni mechi gani simba ilipewa penati bila mchezaji wake yoyote kufanyiwa faulo sema
SawaSi maamuz yao
Basi wewe usinipotezee muda inaonekana ni bendera fata upepo na mechi uwa auangalii na unachokitetea ukijui sina muda wa kupoteza na wewe,,Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote vile na pia msichukie yanga anaposhinda kwasababu awawezi kuacha kushinda eti kwasababu kolo mtachukia!Hizo mechi zote zingekuwa sare kwa mujibu wa nani, kwahiyo mnataka wachezaji wa simba wakifanyiwa faulo ndani ya boksi wasipewe penati kisa ninyi mtachukia, ni mechi gani simba ilipewa penati bila mchezaji wake yoyote kufanyiwa faulo sema
Wewe ndio huwa huangalii mechi yani penati wakipewa simba wanabebwa ila mkipewa ninyi aahh, ndio shindeni mechi zenu kwani nani aliyewakataza ila tu sisi tunasema ukweli ulio wazi, ila ninyi huwa mnaropoka kwa lengo la kuwalipizia tu simba kisa wao wanasema ila si kwamba mnayosema yana ukweliBasi wewe usinipotezee muda inaonekana ni bendera fata upepo na mechi uwa auangalii na unachokitetea ukijui sina muda wa kupoteza na wewe,,Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote vile na pia msichukie yanga anaposhinda kwasababu awawezi kuacha kushinda eti kwasababu kolo mtachukia!
Hizi bahasha za nini tena???Wewe ndio huwa huangalii mechi yani penati wakipewa simba wanabebwa ila mkipewa ninyi aahh, ndio shindeni mechi zenu kwani nani aliyewakataza ila tu sisi tunasema ukweli ulio wazi, ila ninyi huwa mnaropoka kwa lengo la kuwalipizia tu simba kisa wao wanasema ila si kwamba mnayosema yana ukweliView attachment 3240983
Na hata mimi sibishi maana mzazi wenu kabisa anayewajua alisema madunduka wote ni mbumbumbu. Sasa mbumbumbu akiniona sina akili wakati hana uwezo wa kutambua wenye akili yanini nisumbuke🤣🤣🤣Yule jamaa yenu alishasema pale utopoloni mwenye akili ni mmoja tu so sishangai. 😆
Tukipima tu hoja unakuja kugundua utopoloni kuna IQ za bata mzinga 😂😂😂Na hata mimi sibishi maana mzazi wenu kabisa anayewajua alisema madunduka wote ni mbumbumbu. Sasa mbumbumbu akiniona sina akili wakati hana uwezo wa kutambua wenye akili yanini nisumbuke🤣🤣🤣
Mnalazimisha ionekane wananchi hawana furaha kutafuta furaha yenu. Mechi mbili ni goli 8 sio 6.Utopolo wamevurugwa hawajiamini tena.
Yani timu inashinda goli 6 tena mechi mbili lakini mashabiki wake hawana furaha 😃😃
Unaona sasa hujaelewa tena 😄😄Mnalazimisha ionekane wananchi hawana furaha kutafuta furaha yenu. Mechi mbili ni goli 8 sio 6.
Mbumbumbu unatafuta angle ya kutokea. 🤣🤣Unaona sasa hujaelewa tena 😄😄
Ikiona manyoya ......