Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
- Thread starter
- #21
Hao Utopolo inahitaji nguvu kubwa sana kuwaelewesha ndio maana ni kama vipofu kwa yanayoendelea kwa sasa. Kocha mwenyewe alikuwa wa Singida hiyo hiyo hii timu bila ujanja ujanja hamna kitu ndio maana kimataifa ni tia maji tia maji.Wachezaji wafuatao wa first 11 walianzia benchi.
Antony tra bi tra
Arthur bada
Edmund
Abuu imoro
Metacha mnata
Jonathan sowah