Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Wachezaji wote waliocheza ni wa kikosi cha kwanza. Hakuna timu Tanzania yenye uthubutu wa kuchezesha mchezaji wa kikosi cha pili haipo.Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo.
Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka.
Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda wenyewe kwenye mechi hiyo tofauti kabisa na mechi ya Simba kule Liti Stadium - Singida ambapo waliuma meno mwanzo mwisho.
Ni nini kinaendelea kwenye hizi mechi za Yanga??
Soma andiko kwa makini kisha elewaWachezaji wote waliocheza ni wa kikosi cha kwanza. Hakuna timu Tanzania yenye uthubutu wa kuchezesha mchezaji wa kikosi cha pili haipo.
Itakuwa ni hatari kubwaMpira uliojaa siasa ni bora kuto uchukulia seriously tu.
Kabla ujauliza ilo swali pia jiulize nini uwa kinaendelea kwenye mechi za Simba?Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo.
Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka.
Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda wenyewe kwenye mechi hiyo tofauti kabisa na mechi ya Simba kule Liti Stadium - Singida ambapo waliuma meno mwanzo mwisho.
Ni nini kinaendelea kwenye hizi mechi za Yanga??
Labda ungesema wew.Kabla ujauliza ilo swali pia jiulize nini uwa kinaendelea kwenye mechi za Simba?
Rudi kwenye title yako ndio nilikojibu. Singida imechezesha wachezaji wa kikosi cha kwanza.Soma andiko kwa makini kisha elewa
Hujasoma vizuri title na kama umeisoma hujaielewa kabisa. PeriodRudi kwenye title yako ndio nilikojibu. Singida imechezesha wachezaji wa kikosi cha kwanza.
Kumbe ujui? Basi vunga ivyo ivyo kama umeona upande wa yanga na upande wa Simba uwa umevaa miwani ya mbao!Labda ungesema wew.
Ni vizuri ungesema unayoyaona huko Simba ambayo yapo sawa na huko Yanga tufanye comparisonKumbe ujui? Basi vunga ivyo ivyo kama umeona upande wa yanga na upande wa Simba uwa umevaa miwani ya mbao!
Wewe labda ndio huelewi ulichoandika. Mimi sikubaliani na wewe kuwa Singida haikuanza na wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza. Singida imeanza na wachezaji wote wa kikosi cha kwanza.Hujasoma vizuri title na kama umeisoma hujaielewa kabisa. Period
Ata tabora uwa anauma meno akicheza na yanga vipi akikutana na Simba uwa unaonaje?Ni vizuri ungesema unayoyaona huko Simba ambayo yapo sawa na huko Yanga tufanye comparison
Hata wachambuzi wa Azam waliliona na kulizungumizia hilo swala (nimeweka as reference kwenye andiko) wew peke yako ndio hukuona?Wewe labda ndio huelewi ulichoandika. Mimi sikubaliani na wewe kuwa Singida haikuanza na wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza. Singida imeanza na wachezaji wote wa kikosi cha kwanza.
Akikutakana na Simba hawi km hawa ndugu zenu. Singida black Stars it was too much, Mechi na Dodoma Jiji Mexime akaamua kumuweka kipa wa mazeozeni, Kwa Fountain Gate na KenGold ni aibu hata kusimuliaAta tabora uwa anauma meno akicheza na yanga vipi akikutana na Simba uwa unaonaje?
HahahaaHii ligi ni ya nne itashuka kwa kasi wachawi wanaiharibu makusudi tu.
Wachezaji wafuatao wa first 11 walianzia benchi.Rudi kwenye title yako ndio nilikojibu. Singida imechezesha wachezaji wa kikosi cha kwanza.
Usitumie nguvu sana. Unaweza ukawa na point fulani ila leo Singida kachezesha wachezaji wa kikosi cha kwanza.Hata wachambuzi wa Azam waliliona na kulizungumizia hilo swala (nimeweka as reference kwenye andiko) wew peke yako ndio hukuona?
Angalia lineup ya mechi ya Singida na Simba na lineup ya leo kati Yanga na Singida utapata majibu nini watu wanaongea au na hili nalo linahitaji shule??