Kulikuwa na sababu gani Singida Black Stars kuanzisha wachezaji wengi wa kikosi cha pili wakati wachezaji kikosi cha kwanza wapo fit?

Mechi za familia ya GSM huwa niza maigizo wala hakuna haja ya kuziangalia
 
Mechi za familia ya GSM huwa niza maigizo wala hakuna haja ya kuziangalia
Mechi za Utopolo hazivutii watu wanaenda huku wanajua nin cha kufanya.

Ile mechi ya Yanga na Fountain Gate hivi yule beki alishindwaje kuokoa ule mpira uliokuwa unaenda nyavuni😄😄. Maigizo matupu
 
Mechi za familia ya GSM huwa niza maigizo wala hakuna haja ya kuziangalia
Kuna muda mashabiki wao wanaogopa timu yao isishinde goli nyingi lakini pia wakishinda hizo chache timu inayofungwa inajisahau inatamani ipigwe goli nyingi.😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…