mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Mechi za familia ya GSM huwa niza maigizo wala hakuna haja ya kuziangalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu unatafuta angle ya kutokea
Sema umeelewa nini naona unakurupuka tu😆.Mbumbumbu unatafuta angle ya kutokea. 🤣🤣
Mechi za Utopolo hazivutii watu wanaenda huku wanajua nin cha kufanya.Mechi za familia ya GSM huwa niza maigizo wala hakuna haja ya kuziangalia
Kuna muda mashabiki wao wanaogopa timu yao isishinde goli nyingi lakini pia wakishinda hizo chache timu inayofungwa inajisahau inatamani ipigwe goli nyingi.😆😆😆Mechi za familia ya GSM huwa niza maigizo wala hakuna haja ya kuziangalia
Vijana aliowasema Mzee Aden mnaelewa? We angalia tu hapa mkurupukaji anamsema mwingine anakurupuka. 🤣🤣🤣Sema umeelewa nini naona unakurupuka tu😆.
IQ ya mbuzi 🤭Vijana aliowasema Mzee Aden mnaelewa? We angalia tu hapa mkurupukaji anamsema mwingine anakurupuka. 🤣🤣🤣
Ubongo umejaa kinyesi🤮IQ ya mbuzi 🤭
Shukuran bossUbongo umejaa kinyesi🤮