MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mchezo wa ngumi unaujua vema mkuu,maaana isije ikawa unalalama tu hapa kumbe hata sheria moja huijui....Inajulikana dunia nzima kua bondia mwenyeji hubebwa, hakuna aibu kwenye huu ushindi ni tutashangilia tu ingawa kabebwa.
Mh sasa wewe brazamen unaweza kuongea juu ya ngumi na mimi?Mchezo wa ngumi unaujua vema mkuu,maaana isije ikawa unalalama tu hapa kumbe hata sheria moja huijui....
Hivi mnataka tuishi maisha ya kilokole wote????? Hadi mnakera yani,kila siku "maadili" huku asilimia kubwa ni wazinzi,waongo na wafitini tupu.Mwakyembe tangu lini kawafano wa kuigwa? Kigeugeu no.1 na Phd za majigambo?????!!!!!!!Katika hali ya kushangaza wale madada waliokuwa wanatangaza round eti walivaa vipedo,hali ile ilimsikitisha kila mtu hata kumfanya Mwakinyo kuchelewa kumaliza mpambano.
Mwakyembe nilimuona hakuridhika kabisa na hali ile, hata watu wazima niliokuwa nashuhudia nao mpambano huo walilalamika pia, next time tusipokemea hili mtawaleta wale wadada wamevaa madera.
Mkali nilikuwa najua wewe mfuatiliaji wa ndonga kitaalam sio kishabiki.Inajulikana dunia nzima kua bondia mwenyeji hubebwa, hakuna aibu kwenye huu ushindi ni tutashangilia tu ingawa kabebwa.
Lakini scorecards umeziona? Points hazijampa Mwakinyo UD, this means, imefanywa favour kwa bondia mwenyejiMkali nilikuwa najua wewe mfuatiliaji wa ndonga kitaalam sio kishabiki.
Mbona Mwakinyo kamdokoa Mfilipo ngumi nyingi za usoni za point kuliko alizopigwa yeye?
Mfilipo alikuwa najaribu kumlegeza Mwakinyo kwa ngumi za tumbo zisizo na point ili afungue gauard ampe upper-cut.
Mfilipo alikuwa anatafuta KO wakati Mwakininyo alikuwa anatafuta point, aliua mfilipo mzoefu sio rahisi kumpiga KO kizembezembe.
bila picha uzi wako ni amna kituKatika hali ya kushangaza wale madada waliokuwa wanatangaza round eti walivaa vipedo,hali ile ilimsikitisha kila mtu hata kumfanya Mwakinyo kuchelewa kumaliza mpambano.
Mwakyembe nilimuona hakuridhika kabisa na hali ile, hata watu wazima niliokuwa nashuhudia nao mpambano huo walilalamika pia, next time tusipokemea hili mtawaleta wale wadada wamevaa madera.
!
!
Kuna Bondia Kapata Ushindi Wa Kisisiemu.
Kapigwa na kushinda??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba kapita bila kupingwa?[emoji2]
Evidence muhmPicha tuone.
kwamba kapita bila kupingwa?[emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kuongea kwa hisiaBora ufute uzi kama hauna picha. Tunaanza vipi kuongea kwa hisia!