Kulikuwa na ugumu gani wale madada kuvaa nguo fupi zaidi ya zile?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Katika hali ya kushangaza wale madada waliokuwa wanatangaza round eti walivaa vipedo,hali ile ilimsikitisha kila mtu hata kumfanya Mwakinyo kuchelewa kumaliza mpambano.
Mwakyembe nilimuona hakuridhika kabisa na hali ile, hata watu wazima niliokuwa nashuhudia nao mpambano huo walilalamika pia, next time tusipokemea hili mtawaleta wale wadada wamevaa madera.
 
Inajulikana dunia nzima kua bondia mwenyeji hubebwa, hakuna aibu kwenye huu ushindi ni tutashangilia tu ingawa kabebwa.
Mchezo wa ngumi unaujua vema mkuu,maaana isije ikawa unalalama tu hapa kumbe hata sheria moja huijui....
 
Katika hali ya kushangaza wale madada waliokuwa wanatangaza round eti walivaa vipedo,hali ile ilimsikitisha kila mtu hata kumfanya Mwakinyo kuchelewa kumaliza mpambano.
Mwakyembe nilimuona hakuridhika kabisa na hali ile, hata watu wazima niliokuwa nashuhudia nao mpambano huo walilalamika pia, next time tusipokemea hili mtawaleta wale wadada wamevaa madera.
Hivi mnataka tuishi maisha ya kilokole wote????? Hadi mnakera yani,kila siku "maadili" huku asilimia kubwa ni wazinzi,waongo na wafitini tupu.Mwakyembe tangu lini kawafano wa kuigwa? Kigeugeu no.1 na Phd za majigambo?????!!!!!!!
 
Inajulikana dunia nzima kua bondia mwenyeji hubebwa, hakuna aibu kwenye huu ushindi ni tutashangilia tu ingawa kabebwa.
Mkali nilikuwa najua wewe mfuatiliaji wa ndonga kitaalam sio kishabiki.
Mbona Mwakinyo kamdokoa Mfilipo ngumi nyingi za usoni za point kuliko alizopigwa yeye?
Mfilipo alikuwa anajaribu kumlegeza Mwakinyo kwa ngumi za tumbo zisizo na point ili afungue guard ampe upper-cut.
Mfilipo alikuwa anatafuta KO wakati Mwakinyo alikuwa anatafuta point, alijua Mfilipo mzoefu sio rahisi kumpiga KO kizembezembe.
 
Mkali nilikuwa najua wewe mfuatiliaji wa ndonga kitaalam sio kishabiki.
Mbona Mwakinyo kamdokoa Mfilipo ngumi nyingi za usoni za point kuliko alizopigwa yeye?
Mfilipo alikuwa najaribu kumlegeza Mwakinyo kwa ngumi za tumbo zisizo na point ili afungue gauard ampe upper-cut.
Mfilipo alikuwa anatafuta KO wakati Mwakininyo alikuwa anatafuta point, aliua mfilipo mzoefu sio rahisi kumpiga KO kizembezembe.
Lakini scorecards umeziona? Points hazijampa Mwakinyo UD, this means, imefanywa favour kwa bondia mwenyeji
 
Katika hali ya kushangaza wale madada waliokuwa wanatangaza round eti walivaa vipedo,hali ile ilimsikitisha kila mtu hata kumfanya Mwakinyo kuchelewa kumaliza mpambano.
Mwakyembe nilimuona hakuridhika kabisa na hali ile, hata watu wazima niliokuwa nashuhudia nao mpambano huo walilalamika pia, next time tusipokemea hili mtawaleta wale wadada wamevaa madera.
bila picha uzi wako ni amna kitu
 
Back
Top Bottom