Mtoa mada ameleta hoja nzuri sana, uwekezaji kwenye miundombinu ya sekta ya kilimo ingeleta tija kubwa sana kwa wananchi wengi. Nadhani si kila hoja tunaingiza mambo ya siasa. Magufuli kuna mambo anafanya makosa sana.Subirini mkiingia madarakani mnunue matreakta hakuna shida waliompigia kura ndio walioenda haya na nyie mpigieni wenu anunue matrekta manajifanya mnajua sana wakati hapigi kura na mkipga mnakosea