Uchaguzi 2020 Kulikuwa na ulazima gani kununua ndege za kibiashara kwa cash kuliko kununua matrekta na kuyagawa kila kijiji ili kulitupa jembe la mkono?

Pesa ya kununua matrekta ipo na imekuwa ikiyanunua kwa wingi. Kama mleta andiko hupandi ndege wewe maisha yako yote ni Shabiby na Kimbinyiko wachiie wenye kupanda ndege waendelee kuzipanda.

Kama maisha yako yote huna sababu ya kupanda ndege kumbuka kuna watalii wanaosafiri kutoka Norway mpaka Mkomazi kwa ajili ya camping.

Panua uwezo wako wa kuitazama dunia.
 
Kijiji gani kina heka zisizozidi 10?
Tuanzie hapa kwanza
 
Lengo sio kuuondoa umasikini ili watawale milele ukiuondoa umasikin na ccm itakufa
NADHANI MWENYE MWENYE NYWELE NYEUPE ALIPAMBANA NA UMASKINI LAKN CHAMA CHA MAPUTO HAKIKUFA UNASEMAJE APO?
 
Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani, na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi...
Kiuchumi, unapokuwa na hela ambayo haitoshi mfano Nchi zote za ulimwengu wa tatu; kuna kitu kinaitwa Opportunity cost
Namaanisha ,ukinunua kitu kimoja lazima kingine kikose/kisubiri.

Lakini pia, lazima tukubaliane kuwa Kila mtu anaweza kuwa na mawazo yake anayo amini yatachochea uchumi ila mwingine akafikiri tofauti na ndio sababu watu/viongozi kila mmoja ana wakati wake wa kuleta mabadiliko.

Nikupe mf: Kwa mtu akiajiriwa mara ya kwanza wakati hana kitu chochote na mshahara hautoshi; kuna ataona muhimu sana kwake ni Kitanda na Godoro, mwingine muhimu sana ni TV na mwingine muhimu sana Music system nk.

Kimsingi hao wote wapo sahihi japo kila mtu anaweza kujadili kivyake......kilichotokea hapo ni opportunity cost. Namaanisha; hata hivyo vingine vitafanyika tena labda kwa uzuri zaidi kwani atakuwa amemaliza upande mmoja

SAMAHANI HAPO NIMEJADILI KIUCHUMI
 
😂😂😂😂huwa nasomaga coment tu ila acha namm nchangie maana jamaa kaniflaisha sana.ndugu unashndwa tu kuchezesha ubongo kua mtoa mada alkua nalengo lakufkisha ujumbe sahii,kama we nmvuvi kama ukelewe unaweza pendekeza nyie mnunuliwe boti au nyavu namchangie kdogo Kodi yakuvtunza ivyo vtu.

kama we nmfugaji unaweza pendekeza mtengenezewe mashamba yamalisho,au miundo mbinu rafk katka ufugaji wenu au ndugu umesahau ata ufugaji upo kwenye klimo.unafel wap ndugu mbona iko wazi Asilmia 70 ya watz niwakulima...

Tujtaid kupanua ubongo tunapo jadli mambo nyeti sio kuishia tu sehemu moja kwakua Rungwe kasema ata gawa ubwabwa😀😀we nae unawaza niubwabwa nyama tu.watu waivi nihaibu kwenye taifa nafikiri ndio maana kunamgombea mmoja sjui wachama gani ila amenkosha Sana Kusema yeye akichaguliwa ataakksha elimu iwe nadhalia nasio vyeti ,kama vyako ndugu
 
Mawazo ya kimaskini na ya kipumbavu. Hivi kipi kinahitaji care kubwa kati ya tractor na ndege?
Kwani si kila tractor angepewa supervisor ambaye yeye ndiye angewejibishwa kwa Kila uhujumu?
Acha basi na wewe hizo, unataka kila mtu achangie unavyotaka wewe?, Harafu unahubiri uhuru wa kujieleza
 
Mungu wa ajabu sana ameiadhiri mindege ipo grounded siku nyingi laana ya watu kweli hushika
Iko grounded??? Muulize Lissu anaipanda kila siku kumpeleka kwenye kampeni zake sijui zingekuwa hazipo sijui angepanda Punda wa kwao?
 
Katiba mpya ili muingize haki zenu za USHOGA!
 
Katiba mpya ili muingize haki zenu za USHOGA!
Sio kila mtu anayeongelea mabadiriko ukamfikiria ni mwanachama au ni mtu wa mlengo fulani. Embu tanua bhasi ubongo wako kijana, fikiria ya familia yako, ya jirani yako na ya jamii nzima inayokuzunguka na kesho yenu. If you're bold and keen enough you will understand what I mean.
 
Fast jet ilikuwa ni budget carrier , hata ulaya zipo Mf Ryan air na easy jet , wanachofanya budget carrier ni kuondoa unnecessary costs Kama kugawa vinywaji na offer za kubeba mizigo, Ile juice na biscuit unaona unapewa bure kiuhalisia umelipia pesa mingi sana na offer ya kubeba kilo 10 for free , sio bure Bali umelipia pesa mingi hata Kama hutabeba hizo kg.

Kwa mikakati kama hii na mingine budget carriers huwa wanarusha ndege zao zikiwa na uzito ndogo sana na hivyo kusave gharama za mafuta ,
 
Mkuu kama umenisoma vizuri nilianza na point ya kama upinzani ikipata ridhaa ya kuongoza hii nchi, nilimaanisha wao ndio watakuwa chachu ya kubadirisha mfumo mzima wa kiuongozi then wafuate yanayohusu katiba.

Naukubali mchango wako maana umegusa mulemule.
 
Kama hujui kitu kwa nini usikae kimya? Unajua mpaka wanaondoka wanadaiwa na kampuni ngapi? Kwa nini ndege yao ilishikiliwa?
Nani hajui kuwa hata ulaya Cheap flight zipo? Kwani soda ya kopo na kitafunwa unachopewa Atcl au Precisionair ndio sababu ya kuongeza nauli?
 
Acheni kupayuka hovyo Atcl ilipokufa mlipiga kelele kuwa tunahitaji shirika la ndege la taifa. Leo limefufuliwa mnaanza kuponda bila sababu.

Kununua ndege kwa idadi hiyo kwa fedha za kigeni taslimu ilikuwa ndio sharti la kufufua ATCL ?
 
Ningeshangaa kama hii hoja ya watalii isingeibuka kwenye uzi huu, kabla ya hizo ndege hapakuwepo na mashirika mengine ya ndege yaliyoleta wageni hapa nchini? ama ndege hizi za ATCL zina kivutio cha ziada kitakachopelekea wageni wazipande kwa wingi kumiminika Tanzania?
 
Mtoa mada ameleta hoja nzuri sana, uwekezaji kwenye miundombinu ya sekta ya kilimo ingeleta tija kubwa sana kwa wananchi wengi. Nadhani si kila hoja tunaingiza mambo ya siasa. Magufuli kuna mambo anafanya makosa sana.
Wakishalima watasafilishaje mazao yao?
Au mnataka walime kisha viozee ndani na wapate hasara kisha mseme hapakuwa na mikakati?
 
Hao watalii wanatoka Bombay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…