umoja wa mataifa wanatuma askari kwenye vita na majukumu yao wanapewa kutokana na hali ya vita ilivyo.
mfano vita ya kisiasa.labda chama kimeingia msituni wataitwa waasi. lakini kuasi kwao labda wako sahihi kutokana na chama kilichopo madalakani kinafanya mabaya zaidi.
hapa umoja wa mataifa wanasema hebu kaangalieni kinachoendelea kwenye nchi hiyo wakati wanafuatilia vita wanapewa na jukumu la kulinda wakimbizi,mabenk,hospitali ambazo kikawaida sehem hizi kwa kanuni za bita na haki za binadam hazitakiwi kushambuliwa.
iwapo serikali inafikia hatua ya kushambulia wakimbizi au waasi wanashambulia benk au hospital basi hawa ote wanavunja sheria.hapa UN wanatuma timu ingine na wanapewa sasa majukumu makubwa zaidi.na kama wakiona haifai kutumia nguvu zao ,wansweza kukaa upande wa yule mkolofi iwe kwa waasi au serkali.
lakini kwenye vita za sikuhiz nchi zina muunganiko wa kikanda au bara zima linaku na jeshi lao.basi UN wanaweza kuupa nguvu muunganiko huo kwa lengo la kumdhibiti mkolofi wa ndani ya nchi husika.lakini UN pia bado wataendelea kua waangalizi hadi waelewane.
UN wanatuma askari kwa majukumu tofauti zaidi ya 6.kila wanapoona kuna uhitaji kutokana na vita inavyoendelea ,na wao wanaongeza au wanapunguza majukumu.