Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Habarini wakuu,
Huku Michezo ya Olympics Ikiendelea Jiji Paris- Ufaransa. Michezo mingi ya kizungu lakini sisi tunaona ya ajabu ajabu.
Ila na sisi wangetuekea michezo yetu ile ya rede na kushindana kula tungepata sana washindi
Unahisi wewe ungeekewa michezo gani ili ushinde?
Kwa mfano mimi ningejibebea zangu medali ya kushindana kula