goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,763
KWAKUANZIA KUMBUKA MTOTO HANA DHAMBI YOYOTE YA KUTUBU,HAJAWAHI KUTENDA DHAMBI. WALA TOBA HAKUNA MTU WAKUMSEMEA MWINGINE.
YESU ALIBARIKI WATOTO AKABATIZA WATU WAZIMA KWA WANAFUNZI WAKE. JAMBO LOOTE LIMEPOTOSHWA NA KUGEUZWA.
OK
Warumi 6:4
[4]Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.
Wakolosai 2:12
[12]Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu.
Shalom,
Biblia inasema mtu asipozaliwa kwa maji na kwa roho hawezi hata kuuona ufalme wa MUNGU achilia mbali kuingia. Ni jambo sensitive mnoo, na la lazima mnoo.
Safari ya mkristo huanzia majini. Na ni tendo la ishara kwamba ulikufa na kufufuka pamoja na Bwana yesu. Mungu alichagua kitu chepesi na kirahisi mno kupatikana ili kusiwe na udhuru siku hio itakapofika.
Kwa kujua hivyo ibilisi ameutafuna mno ubatizo. Kama alivyobadili neno wakati alipokuwa na mazungumzo na hawa.
Kamwe kwenye maandiko hakuja wahi kuwa namtu aliebatizwa kwa kunyunyiziwa maji tena akiwa mtoto.
UBATIZO MAANA YAKE NI IMMERSE, kuzamisha kuzika. Mlikufa nae mlipozamishwa. Mkafufuka nae mlipoibuliwa kama watu wa pya.
Huwezi ukanyunyiziwa udongo ukawa umezikwa, sifa ya kuzikwa ufukiwe mwili mzima. Na sifa ya kufufuka ni utoke mwili mzima.
Mwaka 300 AC ndipo waliona aibu kumpeleka mtoni mfalme wa rumi injili ilipowasili, kukawa na makundi ma wili mija likisema hamna shida anaweza kunyunyiziwa tuu na kibakuli wengine walisema utaratibu unafahamika. Lazima uzikwe. Kkanisa likagawanyika apo kwenhye ubatizo. Hili lililombatiza mfalme likaenda na kuwa kuwa na la kisiasa.
Filipo wakati anambatiza TOWASHI , walikuwa kwenye msafara unamaji ya akia lakini iliwabidi wakamzamishe .
Kamwe hukuwahi kubatizwa ndugu, achana na misimamo. Walikutupia maji ukiwa mtoto mdogo usie na dhambi yoyote ya kutubu. Wakakuingiza kwa lazima kwenye imani usioijua.
YESU NA WANAFUNZI WAKE WALIBATIZA WATU WA ZIMA NA ALIWABARIKI WATOTO WADOGO.
IBILISI YEYE ANABATIZA WATOTO ANABARIKI WATU WAZIMA. INASIKITISHA.