Kilichobaki ni kuongelea mambo ya kimapenzi ya Slaa. Upande wa Sera hamna Jipya. Tuko karibu na ukumbozi. Chupi imewabana.
Kifupi ni kwmba Slaa anakubalika sana. na ndiye rais ajaye. Kumbukumbu zangu zinanionyesha hakuna niliyoongea naye for the last one month anaikubali CCM. Naomba niwaambie tu kuwa siongelei ushabiki ila hiyo ndio hali halisi.
Kuna kitu kilikua kinaniambia Kikwete lazima achukue, na nilikua naona kaaibu kusema Slaa atakua rais, Lakini sasa wakuu imekulaa kwenu. Slaa ndiye rais.
Najua hata nyie makada mnajiponza kuwa mtaiba kura, ila safari hii no. tena big NOOO.
Kwa taarifa yenu tu. Kuna TISS wengi tu upande wa Slaa.
Nina uhakika asilimia 100. kati ya nyie mnaemponda Slaa. Yaani. MS, KANDAMBILI, TANDALE ONE, KADOGOO, NJIWA and co. Slaa ana kura yake kutoka kwenu. najua hata nyie mmeichoka serikali ya Kikwete. ila kwasababu mnatimiza wajibu wa kazi mliotumwa mnaandika utumbo humu.
Karibuni kwa pamoja tusheherekee, ukombozi wa mtanzania umefika.
Kikwete sio mmbaya ila washauri wake, makamba na mwanaye ndio wabaya. Tunamuomba akae pembeni aangalie kazi inavyofanywa.
2015 tutampa uwaziri wa mambo ya nje. hiyo inamfaa sana. Keshazoea hali ya hewa ya kule, huku anateseka sana.