Kulingana na sheria ya ndoa kesi ya Dr. Slaa kupora mke imepitwa na wakati!

kwani huyo mwanamke alivyokuwa anachumbiwa alikuwa hajijui kama yeye ni mke wa mtu? mi sioni haja ya kumlaumu slaa coz mwanamke ndo ana makosa,yeye kwanini akubali kuchumbiwa kama ni mke wa mtu?by the way hizo ni personal issues whats matters here ni sera za kweli na uhakika
 
Kwa nia njema kabisa, namuomba Dr Slaa kuacha kwanza kuzungukazunguka na Josephine. anachafua jina zuri la Dr.
 
.

Walikutana pale kijitonyama wakiwa majirani, Dr Slaa akampenda huku akijua ni mke wa jirani yake.
 
mmekosa ya kuzungumzaa mmeanza kusema yasiyo wahusu......thats crap..........kama kura yako inaangalia yuko na mke wa nani au mchumba wake ni nani basi kura yako haina tija.....kwa mustakabali wa Taifa
 
.

Walikutana pale kijitonyama wakiwa majirani, Dr Slaa akampenda huku akijua ni mke wa jirani yake.


sasa hiyo inazhusiana nini na sera za ddk slaa,inaelekea hata huyo mwanamke anampenda dk coz kama anajijua ni mke wa mtu kwa nini ameingia katika mahusiano na mwanaume mwingine anyway ni kweli lakini haituhusu
 
Kilichobaki ni kuongelea mambo ya kimapenzi ya Slaa. Upande wa Sera hamna Jipya. Tuko karibu na ukumbozi. Chupi imewabana.
Kifupi ni kwmba Slaa anakubalika sana. na ndiye rais ajaye. Kumbukumbu zangu zinanionyesha hakuna niliyoongea naye for the last one month anaikubali CCM. Naomba niwaambie tu kuwa siongelei ushabiki ila hiyo ndio hali halisi.
Kuna kitu kilikua kinaniambia Kikwete lazima achukue, na nilikua naona kaaibu kusema Slaa atakua rais, Lakini sasa wakuu imekulaa kwenu. Slaa ndiye rais.
Najua hata nyie makada mnajiponza kuwa mtaiba kura, ila safari hii no. tena big NOOO.
Kwa taarifa yenu tu. Kuna TISS wengi tu upande wa Slaa.
Nina uhakika asilimia 100. kati ya nyie mnaemponda Slaa. Yaani. MS, KANDAMBILI, TANDALE ONE, KADOGOO, NJIWA and co. Slaa ana kura yake kutoka kwenu. najua hata nyie mmeichoka serikali ya Kikwete. ila kwasababu mnatimiza wajibu wa kazi mliotumwa mnaandika utumbo humu.
Karibuni kwa pamoja tusheherekee, ukombozi wa mtanzania umefika.
Kikwete sio mmbaya ila washauri wake, makamba na mwanaye ndio wabaya. Tunamuomba akae pembeni aangalie kazi inavyofanywa.
2015 tutampa uwaziri wa mambo ya nje. hiyo inamfaa sana. Keshazoea hali ya hewa ya kule, huku anateseka sana.
 
kwa hiyo unataka utuambie wagombea wengine katika eneo hilo la mahusiano wanasomeka vizuri? hawanakashfa kushinda hiyo? Hayo ni mambo yake binafsi hatutafuti mlokole au kiongozi wa kidini tunatafuta kiongozi makini atakaye jali wananchi. Hayo ya kusema sijui amemtangaza mke wa mtu kuwa mchumba wake hayatuhusu sisi. tunachotaka ni je anauwezo wa kuwajibika? je ataleta mabadiliko? je anachosema ndiyo anachofanya? alipokuwa bungeni alikuwa mtu wa kusinzia au mtu wa kutoa changamoto zinazosaidia watanzania? hayo ndiyo utuambie.:nono:
 

Na huyu nae?
 
Last edited by a moderator:
mi nilifikiri kuwa wewe ni kanda2 jina.
kumbe ni kanda2 akili
 

Amevunja sheria ipi? na adhabu yake ni nini? Kwa nini unaongelea jambo ambalo liko mahakamani, ukusikia onyo la Jaji Brig. General Augustine Ramadhani?
 
jamani mpeni kula Slaa,.,., aingie mjengoni akapate EPA yake nayeye ,,amlipe huyo jamaa aliemuibia mkewe!
 
Ndugu tanza soma hoja ya kisheria ya kifungu cha 65 (c) cha sheria ya ndoa halafu uweze kutoa mchango wenye rutuba vinginevyo unaonekena umerukia tu masuala bila ya kuyatafakari hata kidogo.

Hoja hizi zinathibitisha hayo:-

 

Kesi ya Dr. Slaa ieleweke wazi kuwa si ya kudai matrimonial asset bali ni right to demages for adultery (Sect 72 LMA). Defence pekee aliyonayo Dr. ni kukana kuwa hakujua kuwa Josephine ni mke wa Mtu (refer S. 72 sub 2 of LMA). Hapa Suala la Presumption of marriage (dhana ya ndoa) haliwezi kuingia kwani Sect 160 ya LMA inazungumzia wanapoishi zaidi ya miaka miwili na sio wanapotengana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…