44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa.
Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu akiendelea na masomo yake vizuri, hii inajidhihirisha baada ya kufuzu hatua ya robo finali kwenye lig ya mabingwa baran Africa.
Ndugu mashabiki wa Simba nawashangaa Sana mnapokuwa mnapoteza muda wenu wa kubishana na aliefeli form two, atakusaidia nini Sasa?? Hebu acheni kujidhalilisha kwa kubishana na aliefeli harafu pia sio level yenu!!!
Nawasilisha