Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana Jf

Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate ajari.

Ikitokea ajari ndio utawaona mara wanatqfuta ulipokosea wakunyime fedha. Lakini ubunifu walioutumia serikali katika kuondoa BiMa kanjanja umewafanya wafanya bishara ya BIMA kuwa makini na taarifa sahihi za mteja ili wasije wakalipa hewa. Pia serikali mapato yameongezeja japokuwa sijawahi ona Bima ya Taifa imetoa gawiwo kwenye serikali.

Kwa sasa bado usumbufu wa trafiki kutubebesha makadi wakati haya yote yanatakiwa kuwa kwenye computer. Pia ukataji wa leseni ya kuendesha gari imeondoa usumbufu kwani unaweza ukatembeq na risti huku ukisubiri kupata lessen kamili.
 
Wana Jf

Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafik asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate ajari. Ikitokea ajari ndio utawaona mara wanatqfuta ulipokosea wakunyime fedha. Lakini ubunifu walioutumia serikali katika kuondoa BiMa kanjanja umewafanya wafanya bishara ya BIMA kuwa makini na taarifa sahihi za mteja ili wasije wakalipa hewa. Pia serikali mapato yameongezeja japokuwa sijawahi ona Bima ya Taifa imetoa gawiwo kwenye serikali.

Uncle alifanya vzr.
Mifumo hii IPO muda mrefu Nchi zilizoendelea, huku kwetu zinapigwa vita sababu ni miradi ya watu.

Hata mfumo huu wa control namba hawakupenda, wamejaribu kuuzima muda sasa.

Imagine fines Barabarani,parking na ushuru ktk halmashauri walikuwa walitumia vitabu!!!!

Nikama vile Nchi zetu hazijaingia Karne ya 21.
 
Wakati mwingine Mwendazake alifanya mazuri kama sio kuharibiwa na wakina Makonda nchi hii ingeenda mbali. Kuweka mifumo kumetusogeza. Kuna kipindi kupata lesen tu unapigwa.
 
Wana Jf

Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafik asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate ajari. Ikitokea ajari ndio utawaona mara wanatqfuta ulipokosea wakunyime fedha. Lakini ubunifu walioutumia serikali katika kuondoa BiMa kanjanja umewafanya wafanya bishara ya BIMA kuwa makini na taarifa sahihi za mteja ili wasije wakalipa hewa. Pia serikali mapato yameongezeja japokuwa sijawahi ona Bima ya Taifa imetoa gawiwo kwenye serikali.

Kwa sasa bado usumbufu wa trafiki kutubebesha makadi wakati haya yote yanatakiwa kuwa kwenye computer. Pia ukataji wa leseni ya kuendesha gari imeondoa usumbufu kwani unaweza ukatembeq na risti huku ukisubiri kupata lessen kamili.
... ila watanzania akili zetu sijui! Inakuwaje suala kama bima unaenda vibanda vya mtaani badala ya ofisini kampuni inayoeleweka? Hata hivyo nakubaliana na hoja yako kwamba ICT imeondoa makanjanja wengi kwenye tasnia mbalimbali including wale mawakala wa forodha (clearing and forwarding); walitamba sana mtaani miaka ile wakimiliki ndinga kali - Cresta, MarkX, etc; BMW zilikuwa za wazee wa ngada ukiliona limepaki mahali Magomeni unajua "karejea toka South".

Kuna jamaa mmoja namfahamu miaka ile meli ikitaga anaweza kuhamia 3* hata miezi 3 mtaani haonekani kabisa ila siku hizi kakimbia hadi mji choka mbaya mno! Hata matangazo ya waganga wa kienyeji mtaani nayo kama yamepungua hivi akina Matunge Herbalist Clinic siwasikii siku hizi.
 
Wana Jf

Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafik asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate ajari. Ikitokea ajari ndio utawaona mara wanatqfuta ulipokosea wakunyime fedha. Lakini ubunifu walioutumia serikali katika kuondoa BiMa kanjanja umewafanya wafanya bishara ya BIMA kuwa makini na taarifa sahihi za mteja ili wasije wakalipa hewa. Pia serikali mapato yameongezeja japokuwa sijawahi ona Bima ya Taifa imetoa gawiwo kwenye serikali.

Kwa sasa bado usumbufu wa trafiki kutubebesha makadi wakati haya yote yanatakiwa kuwa kwenye computer. Pia ukataji wa leseni ya kuendesha gari imeondoa usumbufu kwani unaweza ukatembeq na risti huku ukisubiri kupata lessen kamili.
Hao unaoita makanjanja bila shaka walikuwa ni ma-broker kama walikuwa matapeli kubadilisha namna ya kukata bado hao hao wanakata digitally tofauti na na manually kwahio kama walikuwa wasumbufu kulipa bado watakusumbua..., labda useme kulikuwa na wakataji feki...
 
Pale azam kulikuwepo vijana wanakata jata za mabasi kwa tshs 25,000/ unapata kila kitu kumbe feki.
 
Wana Jf

Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafik asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate ajari. Ikitokea ajari ndio utawaona mara wanatqfuta ulipokosea wakunyime fedha. Lakini ubunifu walioutumia serikali katika kuondoa BiMa kanjanja umewafanya wafanya bishara ya BIMA kuwa makini na taarifa sahihi za mteja ili wasije wakalipa hewa. Pia serikali mapato yameongezeja japokuwa sijawahi ona Bima ya Taifa imetoa gawiwo kwenye serikali.

Kwa sasa bado usumbufu wa trafiki kutubebesha makadi wakati haya yote yanatakiwa kuwa kwenye computer. Pia ukataji wa leseni ya kuendesha gari imeondoa usumbufu kwani unaweza ukatembeq na risti huku ukisubiri kupata lessen kamili.
Hivi ile stika ya usalama barabaran bado wanakomaa nayo?
 
Back
Top Bottom