Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

Wakati mwingine Mwendazake alifanya mazuri kama sio kuharibiwa na wakina Makonda nchi hii ingeenda mbali. Kuweka mifumo kumetusogeza. Kuna kipindi kupata lesen tu unapigwa.
Hawakupenda huo mfumo hasa mashirika mengi kama tanapa na bandari maana unaanika kila kitu
 
Hawakupenda huo mfumo hasa mashirika mengi kama tanapa na bandari maana unaanika kila kitu
Kwenye halmashsuri ya kinondoni viajana bila mfumo walitafuna hela kama viwavi hadi wanaimbwa kwenye mabend utasikia "wapi Predito Mopao " utadhani ni mfanyabiashara kumbe mfanyakaz wa serikali tena pale magomeni lalini alikuwa akiwamwagia hela tanga na fm academia kama anawamiliki. Ukienda mango Garden utakuta watu kama ishirin wanamsubiri
 
Back
Top Bottom