Wakati mwingine Mwendazake alifanya mazuri kama sio kuharibiwa na wakina Makonda nchi hii ingeenda mbali. Kuweka mifumo kumetusogeza. Kuna kipindi kupata lesen tu unapigwa.
Kwenye halmashsuri ya kinondoni viajana bila mfumo walitafuna hela kama viwavi hadi wanaimbwa kwenye mabend utasikia "wapi Predito Mopao " utadhani ni mfanyabiashara kumbe mfanyakaz wa serikali tena pale magomeni lalini alikuwa akiwamwagia hela tanga na fm academia kama anawamiliki. Ukienda mango Garden utakuta watu kama ishirin wanamsubiri